JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kwa hili sote tu wadau (4)

Ilipoishia wiki iliyopita: Upinzani mzuri ni ule unaokosoa huku ukiwa na mpango kamili ya sera mbadala ya maendeleo ya Taifa. Kwa maana hiyo bungeni panakuwa na mawaziri wa Serikali kivuli (shadow government with its shadow Cabinet). Endapo Serikali iliyoko madarakani…

Rais Magufuli angazia mafuta ya mawese

Wiki iliyopita, Rais John Magufuli, alitangaza utaratibu mpya wa uingizaji sukari nchini. Uamuzi huu unalenga kulinda viwanda na ajira kwa Watanzania. Ni uamuzi mzuri kabisa. Baada ya kumsikiliza, na kwa kuwa lengo ni kuwalinda wakulima wetu, ajira kwa vijana na…

Vyombo vya habari tujipime na kujitambua

“….Lakini niwaombe viongozi pia na Watanzania wote. Ninajua mmetupima sisi katika siku 100. Inawezekana mnatuonea pia. Kwamba siku mia moja za Magufuli, siku mia moja za Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, siku mia moja za Mawaziri na kadhalika. Mmesahau nyinyi…

Yah: Utii bila shuruti dhana ngumu Tanzania

Mwaka 1973 hadi 1974 tuliamrishwa tuishi pamoja katika Vijiji vya Ujamaa, lengo likiwa ni kusogeza huduma za jamii kama zahanati, shule, maji na maendeleo kwa ujumla wake, karibu kwa wananchi wote. Lilikuwa jambo gumu kukubaliana hasa ukizingatia kuwa uwezo wetu…

Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili

NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika  la Bima, Shirika la  Nyumba, Shirika  la Umeme, mashirika ya vyakula n.k.   Tunapozungumzia NGO…

Serikali isijaribu kuua Tiba Mbadala

Kwa miezi miwili sasa kumekuwa na msuguano kati ya waganga wa tiba asili na tiba mbadala na mamlaka za Wizara ya Afya, Maendedeo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Wizara ya Afya imetoa matamko mawili ambayo yote yalipingwa na Matabibu…