Author: Jamhuri
Tume ya maridhiano muhimu Zanzibar
Leo ni Jumanne. Ni February 23, 2016. Zimebakia wiki 4 na siku 4 Zanzibar kufanya uchaguzi wa marudio. Wiki iliyopita niliandika kueleza jinsi nilivyomwelewa Rais John Mafuguli baada ya ufafanuzi wake wa kisheria juu ya msimamo wake wa kutoingilia Tume…
Vifungu vya Katiba vinavyochefua
Kwa muda mrefu katika Tanzania yetu, viongozi wengi wameyaangalia magazeti kama vyombo vya uzushi na uchochezi. Mtu mmoja atashauri suala fulani lililoandikwa gazetini lifuatiliwe. Lakini kiongozi atasema kwamba suala hilo lisifuatiliwe kwa kuwa hayo ni mambo ya magazetini yasiyo na…
Magufuli na uchaguzi wa Zanzibar wapi na wapi?
Kuna maneno yanayosemwa kwamba Rais John Pombe Magufuli anapaswa kuingilia kati sakata la Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliovurugika na kutakiwa kurudiwa tena. Tayari Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeishatangaza tarehe ya kurudiwa kwa uchaguzi huo. Kwa hapa nataka nilijadili…
Naomba kazi uhamiaji
Katika nchi ambazo najivunia kuzifahamu na kuishi maishani mwangu ni Tanzania. Naipenda nchi yangu kutokana na kila kilichomo ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wake. Kwa siku ya leo nitakumbushia andiko langu la mwaka mmoja uliopita ambalo niliwahi kumwandikia…
Mwenyekiti alivyoitafuna Halmashauri Ukerewe
Dhana ya kupambana na ufisadi inahitaji jicho la ziada kutokana na watumishi wa umma kutumia fursa wanazopata kujineemesha nje ya utaratibu rasmi wa kiserikali, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI, umebaini. Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeingia katika mgogoro mkubwa, baada…
ATC ni zaidi ya biashara (1)
Watanzania wamelipokea kwa furaha tamko la Rais John Magufuli kuamua kulifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) lililopotea kwa miaka zaidi ya miaka 16 sasa. ATC ilianzishwa mwaka 1977 baada ya shirika la ndege la East African Airways (EAA) kuvunjika kutokana…