Author: Jamhuri
JWTZ kuwakung’uta wahalifu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imelikaribisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye mapambano dhidi ya majambazi na wahalifu wengine. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ameikaribisha JWTZ ili itumie misitu na mapori…
‘Mahekalu’ Masaki, Oysterbay kuvunjwa
Serikali imeamua kufuatilia kwa kina wakazi wa Dar es Salaam wanaomiliki viwanja ambavyo kwenye ramani za mipango miji vinaoneshwa kuwa ni maeneo ya wazi. Maeneo ambayo Serikali inayamulika ni yale yenye hadhi, umaarufu na thamani kubwa yaliyopo Oysterbay, Masaki, Mikocheni,…
Mkuu wa Mkoa K’njaro atangaza operesheshi sita
Mkuu wa Mkoa (RC) wa Kilimanjaro, Amos Makalla, ametangaza operesheni sita kabambe zikilenga kukomesha uhalifu, kuhimiza uwajibikaji, kulinda afya za wananchi na kutunza mazingira. RC Makalla alitangaza operesheni hizo kwenye kikao cha kazi kilichowahusisha wakuu wa wilaya zote za Mkoa…
Mbarali ‘wafunikwa’ tena fidia ya makazi
Wananchi 3,113 wa Mbarali mkoani Mbeya, waliohamishwa katika vijiji vyao kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na kupunjwa fidia za maeneo yao, wamesema Serikali imeendelea kuwahadaa kuhusu madai yao. Mwishoni mwa mwaka jana, Gazeti la JAMHURI liliripoti mgogoro…
Wabunge Tarime wajipanga
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa (CCM), ametangaza kuwapeleka bungeni Dodoma, madiwani wa Halmashauri ya Tarime Mjini katika ziara ya mafunzo. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, kutangaza hivi karibuni kuwapeleka…