Author: Jamhuri
Ajira kuchukuliwa na Wakenya, Wahindi ni sahihi!
Yapo malalamiko mengi kutoka kwa Watanzania yanayohusu kazi walizostahili kuzifanya, kuona sasa zikifanywa na wageni. Tunawalaumu raia kutoka Kenya, China, India, Malawi, Burundi na kwingineko duniani, walioingia nchini mwetu maelfu kwa maelfu kufanya kazi mbalimbali. Malalamiko haya ya ndugu zangu…
Yah: Asante Magufuli kuthamini Kiswahili
Kutoka katika uvungu wa moyo wangu, nakupongeza kuhutubia mkutano wako wa Arusha wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki, kwa lugha ya Kiswahili ambayo ni ya Taifa lako na umeonesha huna utumwa wa lugha katika maisha yako. Tumeona mikutano mingi…
Sikio limesikia, akili haijaamka
Siku moja watoto watundu walikuwa wakicheza kwenye uwanja, karibu na bwawa. Wakacheza mpira, wakacheza mchezo wa kukimbizana na michezo mingine mingi. Mwisho walichoka na michezo yao wakaenda kwenye bwawa. Waliokota mawe na kuanza kuyatupa ndani ya bwawa walimokuwa vyura. Kila…
Kupimwa ardhi mjini fuata utaratibu huu
Tunapoongelea upimaji ifahamike kuwa upimaji upo wa aina nyingi. Kutokana na hilo upimaji unaoongelewa hapa ni upimaji miliki. Lakini tunaongelea upimaji miliki wa ardhi mijini na siyo vijijini. Upimaji wa ardhi miliki ni upimaji ambao lengo lake ni kummilikisha mtu…
Fukuzafukuza inawanyima nini wapinzani Tanzania?
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona wapinzani wanapokosa jambo la kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano, wanaanza kukosoa maneno yao wenyewe. Wanakosoa hata kile ambacho wamekuwa wakiimba muda wote kwa namna ya ‘tukipata madaraka ni lazima tufanye namna fulani’. …
Arsenal kwanini?
Mashabiki wa Washika Bunduki wa England – Arsenal ‘the Gunners’, wana imani na timu yao, ndiyo maana katika mechi tatu za Ligi Kuu England, licha ya kutokuwa na matokeo ya kufurahisha, wamekuwa wakishangilia tu kwa kuimba “Tunaipenda Arsenal, Tunaipenda…” Kwa…