Author: Jamhuri
Malinzi na mtazamo wa soka la Tanzania
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya Mkutano Mkuu katika Hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga. Pamoja na mambo mengine, Rais wa shirikisho hilo, Jamal Malinzi, amezungumza na JAMHURI mambo mengi, lakini kwa leo anazungumzia mtazamo wake wa soka la Tanzania….
Msuya kikaangoni
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu (mstaafu), Cleopa David Msuya ameingia kikaangoni kutokana na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inayozimiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited kuingia katika kashfa ya ukwepaji kodi…
Walioitumbua Ngorongoro waanza kutumbuliwa
Kusimamishwa kazi kwa wahasibu watano na watumishi wengine 15 wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa tuhuma za ubadhirifu wa mabilioni ya shilingi za Mamlaka hiyo, kunatajwa kuwa hakujamaliza wimbi la ufisadi katika Mamlaka hiyo. JAMHURI imethibitishiwa kuwa kuna…
JamiiForums yawashitaki wasiotaka ufisadi uanikwe
Kampuni ya Jamii Media, inayoendesha mitandao ya JamiiForums.com na FikraPevu.com; hatimaye imeamua kutafuta haki mahakamani dhidi ya kile kinachoonekana kuwa ni matumizi mabaya ya Sheria ya Makosa ya Mtandao yanayolenga kudhoofisha vita dhidi ya ufisadi iliyotangazwa na Serikali ya Awamu…
Serikali iwezeshe wanahabari
Vyombo vya habari nchini vinafanya kazi ya kuibua uozo. Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kuwa kila vinapogusa vyombo vya habari inafuatilia na kubaini kuwa kuna uozo. Vyombo vya habari kwa muda mrefu vimekuwa…
CCM ni Jipu lililoshindikana?
Kama tujuavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama kikongwe, ingawa ukongwe wake hauzidi ule wa Chama cha African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini kilichoanzishwa mnamo mwaka 1912. ANC ni chama cha siasa kikongwe zaidi barani Afrika. Tanzania ni nchi ya vyama…