Author: Jamhuri
Tumemkosea nini Mungu wetu?
Unaweza usiamini, lakini huu ndio ukweli wenyewe. Tazama hizi picha mbili kwa makini. Nilipoziweka kwenye mitandao ya kijamii, wapo walionitaka niache ‘mzaha’, wakidhani picha na maelezo nilivyoweka vilikuwa vya kuchangamsha baraza! Picha hizi ni za vituo viwili tofauti vinavyotumiwa na…
Macho yanacheka, moyo unalia
Uchaguzi Mkuu wa marudio wa Zanzibar Machi 20, mwezi huu, umepita salama salimini na mgombea urais aliyeshinda ametangazwa na kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambaye ni Dk. Ali Mohamed Shein kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni…
Yah: Magufuli, watumishi wa umma hawakujiandaa na mabadiliko
Kwanza nadhani walifikiri ni mabadiliko ya chama, walibweteka wakawa hawajihusishi na siasa, kumbe walisahau kale ka wimbo ketu ka TANU kwamba chama kinashika hatamu, na kwamba watumishi hawa waliamini kuwa Serikali na chama ni vitu viwili tofauti. Nimeanza kwa kukupongeza…
Yanga kuvunja mwiko J’mosi?
Katika historia ya soka, timu za Tanzania Yanga ikiwamo, hazina ubavu wa kuzitoa timu za Misri kwenye mashindano. Lau Simba kidogo ambayo mwaka 2003, ilivunja rekodi kwa kuichapa Zamalek kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya wababe hao…
TBL maji shingoni
Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…
Wakubwa wahujumu tanzanite
Mwekezaji katika mgodi wa uchimbaji wa madini ya tanzanite na mmiliki wa Kampuni ya TanzaniteOne Mining Ltd, anadaiwa kufanya hujuma katika biashara ya madini nchini. Mwekezaji huyo ambaye anamiliki asilimia 50 ya mgodi huo anaelezwa kufanya hujuma ya kutorosha madini…