Author: Jamhuri
Profesa Baregu amepotosha umma
Kumetolewa matamshi kadha kutoka kwa wanasiasa na hasa wasomi wa vyuo vikuu mara tu baada ya Rais wa Jamhuri kuteua wakuu wa mikoa wapya. Baadhi ya wanasiasa wazoefu hapa nchini, ama kwa kukusudia (deliberately), au kwa kutokujua kwao (sheer ignorance),…
Asante mbabe, Watanzania tumekusikia
“Kujitawala kwa kweli hakuwezekani ikiwa taifa moja linategemea misaada na mikopo ya taifa jingine kwa maendeleo yake. Hata kama pangetokea taifa au mataifa ambayo yako tayari kutupa fedha zote tunazozihitaji kuendesha mipango yetu ya maendeleo, isingekuwa sawa kwa nchi yetu…
Yah: Mheshimiwa Magufuli majipu mengi mno tushirikishe kuyatumbua
Siku mbili tatu hivi uliposema kuna watumishi wa Serikali wanaishi kama malaika, tulikuelewa kwamba unaelewa kinachotukera waajiri wao ambao ni sisi wananchi. Tulielewa kuwa kero yetu imekufikia na wewe ndiye tuliyekuajiri uwe bosi wao na unatakiwa ujue nini mahitaji yetu. Mpaka…
Ukweli kuhusu Mwiba Holdings (3)
Maelekezo/Maagizo ya Nyalandu Nyalandu aliwaambia Wakurugenzi -Profesa Songorwa na Profesa Kideghesho kuwa yeye anamfahamu mmliki wa FCF; na ni marafiki. Lakini kubwa ni historia ya kampuni zake katika tasnia ya uwindaji wa kitalii na mchango mkubwa katika uhifadhi na…
Miaka kumi tangu TX Moshi William atuache (2)
Wasifu wa TX Moshi William unaeleza kuwa majina yake halisi alikuwa akiitwa Shaaban Ally Mhoja Kishiwa. TX Moshi aliyezaliwa mwaka 1954, ameacha mke na watoto wanne – Hassan, Maika, Ramadhan na Mahada. Historia yake katika muziki inaonesha kwamba alianza tangu…
Msuva, Ibra Ajib wanasubiri nini?
Kuna maswali mengi unayoweza ukajiuliza kwa wachezaji wa Tanzania pale wanapoona mafanikio ya Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Miongoni mwa maswali hayo ni kwamba wanawaza nini? Wanajifunza nini? Samatta kwa sasa anacheza soka la mafanikio katika Klabu ya KRC Genk…