Author: Jamhuri
TBL wakwepa kodi hadi Uingereza
Kwa muda wa wiki sita tumekuwa tukikuletea mwedelezo wa taarifa jinsi kampuni ya SABmiller inayomiliki Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) inavyotumia udhaifu wa kisheria kutolipa kodi sahihi. Ifuatayo ni taarifa ya utafiti uliofanywa na Kampuni ya Uingereza iitwayo ActionAid…
Hifadhi ya Taifa Serengeti inakufa
Hifadhi ya Taifa Serengeti, iliyowavuta maelfu kwa maelfu ya wageni kutoka ndani na nje ya nchi yetu, inakufa. Tofauti na wengi wanavyodhani, athari za ujangili Serengeti si kubwa wala tishio kwa uhai wake, isipokuwa kinachoiua Serengeti ni siasa na wanasiasa!…
Mazuri ya Cuba yasiyosemwa
Machi 21 na 22 mwaka huu, Rais Barack Obama wa Marekani alifanya ziara ya kihistoria nchini Cuba. Ya kihistoria kwa sababu hii ilikuwa ziara ya kwanza ya Rais wa Marekani nchini Cuba tangu miaka 88 iliyopita. Mara ya mwisho ilikuwa…
JKN na JPM wanalingana?
Nimekuwa nikisikia, nimesoma katika magazeti na hatimaye ninajiuliza hivi ni kweli viongozi hawa wanalingana? Ulinganisho mara nyingi unakuwa kwa vitu vya aina moja. Katika ulinganisho kuna vigezo vinavyokubalika. Inapokuja kulinganisha utawala wa viongozi mbalimbali hapo kunatakiwa uangalifu wa hali ya…
Yah: Kuna viongozi wanayabananga kwa hofu ya ‘hapa kazi tu’
Nianze kwa kuwapongeza wale wote waliomwelewa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, kwamba anataka watu wasibweteke wafanye kazi, na kufanya kazi siyo lazima uonekane kwa kukemea kila kitu hata ambacho hukijui. Hii dharura iliyojitokeza ya kukurupuka kutoka usingizini kwa baadhi ya…
Asante mbabe, Watanzania tumekusikia – 2
Wiki iliyopita nilizungumzia tamko la serikali ya Marekani kupitia Shirika lake Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), la kukata msaada wa dola milioni 472.8 za Marekani sawa na shilingi trilioni moja kwa Serikali ya Tanzania katika miradi ya mfuko huo…