Author: Jamhuri
Huawei wanasa mtego wa Serikali
Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana imeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kubaini wafanyakazi raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini bila vibali. Wiki iliyopita, viongozi wa wizara hiyo walivamia ofisi za kampuni ya mawasiliano ya Huawei…
Chuo cha Mandela hekaheka
Ujanja ujanja kwenye mfumo wa mishahara ya watumishi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, unatajwa kuwa chanzo cha Serikali kupoteza fedha nyingi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa mfumo wa ‘Lawson’ unaotumika kuandaa…
Dalali, TBA mikononi mwa Waziri Mkuu
Waliouza nyumba ya Serikali namba 162, kiwanja namba 1103 iliyoko Kitalu ‘S’ eneo la Mafiati jijini Mbeya kwa gharama ya Sh milioni 250 kwa mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam, Saul Henry Amon, wamelalamikiwa kwa Waziri Mkuu. Nyumba hiyo ambayo…
Ndungu Rais tutengenezee Rais mwingine
Ndugu Rais, imeandikwa kuwa mwenye busara akiamua kujenga nyumba, kabla hajafanya chochote, hukaa chini, akachukua kalamu na karatasi na kupiga hesabu! Naye akishapata gharama kamili ndipo huanza ujenzi. Kazi ya ujenzi na kuistawisha nchi haina tofauti na ujenzi wa nyumba….
Sasa si ukwepaji kodi tena, bali ni ukwapuaji kodi
Hatimaye Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amewasilisha kiwango na ukomo wa bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. Waziri ameliambia Bunge kuwa mwaka ujao wa fedha zitatumika Sh trilion 29.53. Kati ya fedha hizo,…
Ushirikiano wa TANU na ASP kabla ya 1964 (3)
Serikali ya Tanganyika ilichukua msimamo wa kuwa kusaidia ASP baada ya mwaka 1960 na kabla ya mwaka 1964 kwenye uchaguzi Zanzibar. Tanganyika ilitaka kutoa msaada wa hali na mali kwa ASP ili ishinde uchaguzi wa mwaka 1961 na wa mwaka…