JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mpango wa Taifa wa kuchochea ukuaji viwanda

Lengo la kufikia uchumi wa kujitegemea imekuwa ni dhamira ya Tanzania kwa muda mrefu. Hatua mbalimbali za kimaendeleo zimekuwa zikichukuliwa ili kufikia azma hiyo. Ili kufikia azma hiyo, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 imebainisha  malengo matatu ambayo ni kuwaletea…

Tuendeleze demokrasia (2)

Hayo ndiyo yaliyoongolewa pale Dodoma na mengi mengineyo ndiyo yalitokea wakati ule hali ya hewa ilipochafuka huko Visiwani. Hali ile ilisababisha Mzee wetu Jumbe ajiuzulu uongozi; akaacha Urais wa Zanzibar, akaacha umakamu wa Rais wa Jamhuri na akaacha umakamu wa…

Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli, msaidie askari huyu

Gazeti la JAMHURI limepokea barua ya malalamiko ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Joseph D. Bundara (JB/MT 80304PTE), aliyomwandikia Rais ili asaidiwe kupata haki yake. Hii ndiyo barua aliyomwandika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Mafanikio ya Yanga na Tanzania kuongezwa uwakilishi CAF

Tanzania kwa sasa inabebwa na Yanga katika anga za michuano ya kimataifa, kutokana na uwezo ambao wamezidi kuuonesha kwenye eneo hilo na ligi la hapa nyumbani. Hilo halina ubishi. Hiyo imekuja baada ya Yanga kufuzu kwa hatua ya makundi ya…

Mbunge jangili

Wakati wabunge kadhaa wakijiandaa kukwamisha Bajeti ya Wizara ya Maliasiali na Utalii, imebainika kuwa miongoni mwao ni watuhumiwa wakuu wa ujangili. Wabunge hao wameunda umoja usio rasmi, kupinga kutekelezwa kwa Operesheni Taifisha Mifugo, iliyotangazwa na Serikali kupitia Waziri wa Maliasili…

Takukuru wachunguza Saccos Moshi

Ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 6 katika Chama Cha Akiba na Mikopo (Wazalendo Saccos) mkoani Kilimanjaro, umeendelea kuibua mapya kwa utoaji wa mikopo kwa watu ambao si wanachama wakiwamo marehemu. Wizi wa fedha zilizokopwa kutoka taasisi mbalimbali za fedha…