Author: Jamhuri
Kiwanda cha Saruji chatesa wakazi Dar
Wakazi wa kata za Boko na Bunju, Dar es Salaam wamekilalamikia Kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa uharibifu wa mazingira ambao umeathiri makazi na uharibifu wa mali zao. Wakazi hao wameieleza JAMHURI kwamba maporomoko ya maji kutoka katika…
Rasilimali za Tanzania na umaskini wa Watanzania
Mjadala huu ninaoenda kuuzungumza ni mtazamo na maoni yangu. Nitashukuru kama mjadala huu utagonganisha fikra na mitazamo ya Watanzania wengi. Binafsi, ninaamini kwenye falsafa ya mgongano wa kifkra kwani unazaa mawazo mapya na ambayo hayakuwapo. Mwezi Agosti wa mwaka 386 akiwa…
Yah: Tuseme sasa yatosha ili tuweze kusonga mbele
Nianze waraka wangu wa leo kuwashukuru sana wasomaji wangu wa barua zangu ambao mmenipa moyo sana wa kuandika kila iitwapo Jumanne, ili kutoa mawazo yangu ya kizuzu japo mengi ya mawazo ni yale ambayo mnanishauri ninyi wasomaji wangu. Tuendelee kukumbushana kila…
Tanzania itachanika
Haifai, kwenda kusimama juu ya milima, kupokea mapesa kwa mabepari, kwa kutaka kuangamiza nchi, haifai. Tizameni nyiye mambo mnayotaka kuyafanya, ni mabaya sana, roho za watu wengi zitakuja potea, na wakati huo Mungu atakuja wakasirikia. Haifai. Tanzania itakuja chanika ooh!…
Ndugu Rais nijaalie nimzike Wilson Kabwe
Ndugu Rais, sijaja hapa kumlilia Wilson Kabwe, la hasha. Nimekuja hapa ndugu Rais, kumzika Wilson Kabwe. Katika kitabu cha Julius Kaizari kama kilivyotafsiriwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, imeandikwa, “Mtu akifa huzikwa na mazuri yake yote. Mabaya yake hubaki yakizagaa…
Tuwaenzi waasisi Jumuiya ya Afrika Mashariki
Juma lililopita, asasi isiyo ya kiserikali – Afrika Mashariki Fest, ilikutanisha wana wa Afrika Mashariki jijini Kampala, Uganda na kutambua mchango wa viongozi waliotangulia katika kuanzisha na kujenga umoja wa nchi za Afrika Mashariki – Kenya, Uganda na Tanzania –…