Author: Jamhuri
Mauaji yanayofanywa si silka ya Watanzania
Watu wachache wasioitakia mema nchi yetu wameanza kuchafua sifa nzuri tuliyojipatia kwa miongo mingi. Mauaji ya albino, vikongwe na ajuza; na sasa haya ya kuchinja watu ndani ya nyumba za ibada na katika makazi, si ya kuvumiliwa hata kidogo. Taarifa…
Hatunacho tena kisiwa cha amani
Sasa kwetu Tanzania ni mauaji tu kila mahali. Na kama hakuna mauaji basi utasikia vurugu bungeni, vyuoni na maeneo mengine. Ile sifa kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani haiko tena. Kila mtu anaishi kwa hofu na wasiwasi. Mchungaji wa wanyama…
Fedha zatafunwa Chuo cha Mandela
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) iliyopo jijini Arusha, unajitahidi kufanya kila linalowezekana kuficha vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka katika chuo hicho. Hivi karibuni, uongozi huo umewasilisha serikalini kile kinachoonekana kuwa ni…
Ulinzi wa nchi yetu jukumu letu sote
Jeshi la Polisi, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, linapaswa kujipanga kikamlilifu kukabiliana na matukio ya mauaji yanayolikumba Taifa katika kipindi kifupi sasa. Leo nimekumbuka uzalendo wa nchi yetu miaka kadhaa iliyopita. Nimekumbuka uzalendo kwa maana ya kila…
Maisha yanaongozwa na malengo.
Maisha ni malengo. Hakuna maisha ya mkato. Ishi kwa malengo. Tusiishi kwa sababu tunaishi. Tuishi kwa malengo, kwa sababu Mungu ametuumba tuishi kwa malengo. Ungana na Henry James kuamini maneno haya; “Ni muda mwafaka wa kuishi maisha ambayo umeyafikiria kwa muda…
Ndugu Rais, Lila na Fila hazitangamani
Ndugu Rais wiki iliyopita nilikuomba unijalie nimzike Wilson Kabwe! Katika mrejesho nimepokea simu nyingi na ujumbe mwingi wa kutia moyo. Pamoja na upungufu wote tulioumbwa nao kama wanadamu, lakini tunapoandika tunachagua maneno kwa sababu lengo letu kubwa ni kujenga, si…