JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Maisha yanaongozwa na malengo (2)

Upo ukweli unaopendwa kutumiwa na watu wengi sana. Ukweli huo unasema hivi; “Kazi ya Mungu haina makosa.’’ Ni ukweli kwamba hujaumbwa kwa makosa wala kwa bahati nasibu.  Mwanasayansi Albert Einstein anasema,“Mungu hachezi bahati nasibu.’’ Mshairi Russel Kelfer anasema, ‘Wewe ni…

Uongo huu ukemewe

Kumezushwa uongo katika vyombo vya habari vya Uingereza ambao mimi nasema usikubaliwe na ukemewe vikali. Gazeti moja nchini Uingereza limeandika matokeo ya utafiti fulani na kuja na taarifa inayolichafua Taifa letu la Tanzania. Magazeti, redio, runinga ndiyo njia nyepesi ya…

Atuzwa kwa kuisumbua Serikali (1)

Maanda Ngoitiko ambaye ni kiongozi wa asasi ya Pastoral Women Council (PWC), wakati wowote wiki hii atapewa tuzo ya Front Line Defenders Award for Human Rights inayotolewa na Shirika la The International Foundation For the Protection of Human Rights Defenders…

Yah: Bajeti nzuri na ya kweli japokuwa imewasahau wakubwa

Nimefarijika kusikia bajeti ikisomwa na waziri wa Wizara ya Fedha anayesifika kwa misimamo ya uzalendo. Ni bajeti ya kwanza kabisa ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoakisi utendaji kazi wa awamu ya tano kwa kaulimbiu ya ‘hapa kazi tu’ ya…

Ni hofu au demokrasia?

“Demokrasia si sawa na chupa ya soda aina ya Coca- Cola ambayo unaweza kuagiza kutoka nchi za ng’ambo. Demokrasia inapaswa kujiongoza na kujiendesha kwa mujibu wa mazingira ya nchi husika.”  Maneno haya yalizungumzwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwezi Juni,…

Hata kwao Mohammed Ali wapo wachawi

Mwanamichezo na mwanamasumbwi mashuhuri Mohammed Ali ameugua kwa muda mrefu na kufariki hivi karibuni na tayari wanatafutwa wachawi wake.  Si uchawi ule tuliozowea kuusikia Waafrika lakini ni uchawi unaokuzwa na kushamiri kwa sababu binadamu wote asili yao moja na hata…