JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Atuzwa kwa kuisumbua Serikali (2)

Sehemu iliyopita, viongozi wawili katika Tarafa ya Loliondo waliandika waraka kupinga hatua ya Maanda Ngoitiko ambaye ni kiongozi wa asasi ya Pastoral Women Council (PWC), kupewa tuzo ya Front Line Defenders Award for Human Rights inayotolewa na Shirika la The…

Je siasa inamaliza soka la Tanzania?

Wiki iliyopita, Serikali ilisitisha kufanyika kwa mashindano ya vijana ya Umoja wa Michezo ya Shule za Msingi (Umitashumta) na ule wa shule za sekondari (Umisseta). Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene, alitoa kauli hiyo kusitisha rasmi baada ya…

Nchi ilivyochezewa

Serikali ya Awamu ya Nne kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, ilibariki kampuni ya bilionea wa Kimarekani ya Wengert Windrose Safaris Tanzania Limited, kupewa uwekezaji wa kimkakati, kupitia vitalu vya uwindaji inavyomiliki, kikiwamo kimoja isichokimiliki kisheria. Agosti 20, mwaka jana,…

Kashfa ya nyumba NIC

Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeingia katika kashfa ya kuhujumu mali za shirika hilo, ikiwamo ya kuuza nyumba bila kuzingatia maagizo yaliyotolewa na Serikali Oktoba, 2009. Nyumba zilizopangishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo zilizoko eneo la Kijitonyama jijini Dar…

Uhamiaji Dar ni aibu

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam inatuhumiwa kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni zinazosimamia idara hiyo, huku Kamishna wa Idara hiyo, Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, akibebeshwa mzigo. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umethibitisha pasi na…

Tusiibeze bajeti, tusiishangilie

Juni 9, mwaka huu, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliwasilisha bajeti ya Serikali bungeni kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Bajeti hii imeficha siri nzito yenye mwelekeo wa kuliondoa Taifa letu katika aibu ya kuwa ombaomba. Ni kweli,…