Author: Jamhuri
Ndugu Rais, hawa ndiyo viongozi wetu wa mwendo kasi?
Ndugu Rais kuna kiongozi mmoja alitamka bungeni kuwa Burundi isiitishe Tanzania, la sivyo tutapeleka jeshi kuiangamiza yote. Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliitembelea Burundi. Huko aliulizwa na mwananchi mmoja kwanini Tanzania ilitaka kuivamia Burundi. Maneno hayo yalitamkwa na…
Tusisahau historia hii (1)
Wasomaji wa makala zangu katika Gazeti la JAMHURI wamenisaidia sana mimi kujitambua ninavyoeleweka katika jamii. Ujumbe mfupi wa naandishi (SMS) nyingi zimenikomaza, zimenipa moyo na zimenijengea hali ya kujiamini kuwa ninatoa ‘material’ kwa somo la URAIA hapa nchini. Wale waliofaidika…
Anahitajika ‘Steven Wasira’ mwingine
Mengi yanazungumzwa. Yanailenga Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk. John Magufuli. Mengine yanalilenga Bunge na hapa anaguswa Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson. Haya si mambo ya kuachwa au kupuuzwa. Kuna majibu yanahitajika. Majibu yanaweza yakawa ya faragha, au…
Yah: Uhuru wa kidemokrasia na siasa za kila kuongea
Kuna wakati huwa nakumbuka hotuba fupi ya aliyewahi kuwa Mheshimiwa Rais wa Uganda enzi hizo, Idi Amin Dada, aliyesema Uganda ina demokrasia ya kuongea utakacho lakini baada ya demokrasia hiyo hujui nini kinachoendelea. Wengi tulimjua huyu bwana kwa ujuha wake,…
Elimu na ubora wetu
“Kutengana na umaskini ni hali iliyo njema sana; na uchache wa afya kuwa katika mwili ni mashaka ambayo hayana mfano. Ubora wa ukubwa na rafiki katika Mahakama haulingani na kitu kingine chochote, na hata hushinda fedha iliyomo mfukoni ambayo haiwezi…
Wajibu wa Serikali yetu kugharimia elimu ya uraia
Mshirika mmoja wa mkutano wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho Insha Tatu za Kifalsafa za Mwalimu Nyerere amerusha kombora zito dhidi ya wasomi na mijadala yao ya kisomi. Mama Anna Mwansasu alihoji desturi ya wasomi kuandaa mikutano kujadili masuala mbalimbali muhimu…