Author: Jamhuri
Zahoro Matelephone arejea Dar
Mfanyabiashara anayedaiwa kujihusisha na usafirishaji na uuzaji dawa za kulevya nchini Zahoro Khamis Zahoro (Zahoro Matelephone) amerejea nchini kimya kimya baada ya kudaiwa kukamatwa katika nchi za Falme za Kiarabu. Matelephone ni mfanyabiashara anayemiliki maduka kadhaa ya simu za mkononi…
Lowassa aanza Safari ya Matumaini
. Machinga wamkabidhi Sh milioni 1, zana za kazi .Wakulima wa Tanga nao wamwagia Sh. 200,000 .Madiwani Bariadi wafunga safari kwenda Monduli .Mwenyewe azungumza mazito kwenye waraka Wakati makada sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufungwa kwenye adhabu…
Watoto wa marehemu (mke/mme) hugawanaje mirathi?
Mara nyingi nimeandika kuhusu mirathi, lakini zaidi nimegusia habari ya usimamizi wa mirathi. Leo nimeona ni muhimu kueleza mgawo wa mirathi kwa kuangalia nani anapata nini kupitia sheria ya mirathi ya Serikali. Mgawo ukoje ikiwa mume amefariki? Kama mume amefariki…
Wapigakura Rais safi tunamjua
Wiki iliyopita katika Safu hii ya Fasihi Fasaha, nilizungumzia kupata rais safi inawezekana Watanzania watapotimiza wajibu wao. Nilikusudia kuzungumza na Watanzania ambao ndiyo wapigakura wenye uamuzi wa kupata rais safi. Makala ile imechangiwa na wasomaji wengi wakiunga mkono na kuhoji…
NGOs za wanafiki na ziwatetee Wakenya hawa!
Asasi za kiraia (NGOs) zinazojihusisha na masuala ya wafugaji katika Wilaya ya Ngorongoro, hasa Loliondo, zinajua kwamba uhuni na ghiliba zake sasa zinaelekea ukingoni. Kwa miaka mingi zimetumia umaskini wa ndugu zetu Wamaasai kama kitegauchumi kikuu cha kuomba na kupokea…
Tukionee fahari Kiswahili (2)
Ilipokuja Awamu ya Pili ya Mzee Ruksa (Ali Hassan Mwinyi) mimi sioni kwa nini aliendeleza ule utamaduni wa kuongea Kiingereza katika dhifa zile za kitaifa au hata aendapo nje ya nchi yetu. Kulikuwa na ugumu gani kwa Mzee Ruksa kumwaga…