Author: Jamhuri
Mkataba ‘tata’ Bima, Bakita
Mkataba wa mauziano ya nyumba kati Shirika la Bima la Taifa (NIC) na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), uliofanyika Oktoba 8, 2009 unadaiwa kuwa ni batili kwa kuwa taasisi iliyonunua haina uhalali kisheria. Mkataba huo unahusu nyumba zilizoko eneo…
Matumizi yazidi mapato serikalini
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli ikiwa na mikakati ya kupunguza matumizi ya fedha za umma yasiyokuwa na lazima kwa lengo la kuwaletea wananchi maendeleo, kwa upande wake imeingia katika matumizi yanayozidi kiasi cha mapato…
Kila la kheri Rais Magufuli
Wiki hii, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ukiacha ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, ambao aliupata kwa kuwa Mbunge wa Biharamulo Mashariki kabla ya…
Ijue sura ya uchumi Tanzania
Leo (wiki iliyopita) gazeti la Mtanzania limeripoti kufungwa kwa Hotel kadhaa za kifahari kutokana na sababu mbalimbali, lakini sababu kuu iliyotajwa ni hatua ya Serikali kuzuia mikutano yake kufanyika hotelini, badala yake ifanyike kwenye kumbi za Serikali na kudaiwa kodi…
Bandari safisha wahalifu
Kwa muda wa miaka minne sasa gazeti hili la JAMHURI limekuwa likiandika habari za uozo katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Katika maandishi hayo tumebainisha suala la upotevu wa makontena, vibarua hewa, usitishaji wa matumizi ya flow meter za mafuta,…
Madini yatishia amani Morogoro
Wananchi wa Kitongoji cha Epanko ‘A’, Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, wamelazimika kuyakimbia makazi yao, huku wakilalamikia utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa madini ya graphite kwamba haukuzingatia mambo mengi yanayohusu maisha ya walengwa. Baadhi ya wananchi wa kitongoji hicho…