Author: Jamhuri
Wajibu wa Polisi usalama si woga
“Tekelezeni wajibu wenu bila ya woga. ( Makofi ) Katekelezeni wajibu wenu bila ya woga kwa kuzingatia sheria. ………Niwaombeni sana, vyeo vyetu tuviweke pembeni na sheria tusiweke pembeni. …….Mimi Rais wenu nipo pamoja na nyinyi.” Ni tamshi lenye upendo na…
VAT kwenye utalii: Ukweli na hasira
Nafanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa muda sasa; kwenye utalii unaotambulika kama utalii wa utamaduni na ingawa kuna masuala mengi bado najifunza kuhusu sekta hii kwa ujumla, naamini nimejifunza vya kutosha kuweza kuchangia mawazo yangu juu ya uamuzi wa…
Uzalendo unatuumiza michezoni
Katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika nchini Mexico katika Mji wa Mexico City mwaka 1968 Tanzania iliwakilishwa na mwanariadha aliyefahamika kwa jina la John Stephen Akhwari kwa upande wa mbio za marathon. Kwa wale wasiomfahamu huyu ni mwanamichezo hodari wa kipindi…
Kashfa Bunge
NA MANYERERE JACKTON Tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na ufisadi zimeanza kufichuliwa ndani ya uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwenye mlolongo huo, kumeibuka madai ya kuwajiriwa kwa watoto wa vigogo. Waziri mwanamke anatajwa…
DG aanza kazi Bandari
Baada ya gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi wiki iliyopita kuonyesha udanganyifu unaofanywa na baadhi ya maafisa wa Bandari ya Dar es Salaam, hali inayoipotezea mapato Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wiki moja tu, hali imebadilika. Bandari ya Dar…
Wafanyabiashara wahojiwe, mali zitaifishwe
Sehemu ya tatu ya ripoti hii ya Jaji Joseph Warioba iliyochapishwa wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa ilizungumzia maadili ya viongozi na hatua ya viongozi kufanya biashara wakiwa madarakani kwa kuuza hadi vidani vya wake zao kwa wafanyabiashara. Wiki hii, tunakuletea…