Author: Jamhuri
Butiama inahitaji Zimamoto
Mwaka 2008 Serikali ya Awamu ya Nne ya Mzee Jakaya Kikwete, ilipitisha uamuzi wa kuanzishwa kwa wilaya mpya ya Butiama. Baadhi, na siyo wengi, hatukuunga mkono uamuzi huo. Waliyo wengi walifurahia uamuzi huo. Ambao hatukuunga mkono tulitaja uhaba wa ardhi…
Burian Mpigapicha Joseph Senga
Mimi Benjamin Thompson Kasenyenda, nafsi yangu inakataa kuwa kweli Joseph Senga eti ametutoka. Lakini kiuhalisia ndiyo hivyo, ndugu yetu Senga ndiyo ameondoka. Kwa kheri mpendwa wetu. Mcheshi na mtu wa watu. Atakumbukwa na wengi na kwa mengi. Baadhi ni sisi…
Kwanini Soka la EA pasua kichwa?
Mmoja wa Makocha wenye heshima katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (EA), Adel Amrouche aliwahi kutoa maoni yake juu ya kwa nini ukanda huu haupigi hatua katika soka. Kwa wasiomfahamu, amewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Burundi…
Waziri amhujumu Rais
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William ole Nasha, ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotuhumiwa kuihujumu Serikali kwa kuvujisha siri mbalimbali kwa raia wa kigeni. Tayari kuna taarifa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimepanga kumhoji juu ya ushirika…
Bunge tena!
Matukio ya ufisadi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yameendelea kuibuliwa, na safari hii yanahusu malipo ya Sh bilioni 6 kwa kampuni ya bima ya Jubilee. Malipo hayo kwa bima ya wabunge na familia zao yalianza kulipwa…
Mahakama yafanya kituko
Hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, imelalamikiwa na Festo Loya, ambaye alisimamiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye shauri la jinai namba 65/2015, lililomhusisha mtuhumiwa Petro Gembe. Akizungumza na JAMHURI, Loya anasema alipeleka shauri hilo mahakamani kutokana…