Author: Jamhuri
Mauaji, hukumu ya Mwangosi
Naandika makala hii muda mfupi baada ya kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Iringa. Nimekuja hapa Iringa kusikiliza hukumu dhidi ya muuaji wa Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi, aliyeuawa na askari Pacificus Cleophace Simon Septemba 2, 2012 akiwa kazini katika Kijiji…
Bunge kuna matatizo
Kwa wiki kadhaa tumekuwa tukiandika habari zinazohusu ufisadi, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Ofisi ya Bunge. Habari hizo zilipoanza kuchapishwa katika JAMHURI, haraka haraka Bunge likajitokeza kukanusha, ingawa kimsingi hakuna kilichokanushwa zaidi ya kuthibitisha kile tulichokiandika. Kuna…
Tazara yapata mkataba mnono DRC
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imesaini mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya usafirishaji ya African Fossils Ltd, ya hapa nchini, kusafirisha petroli yenye lita za ujazo milioni 18 kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkataba…
Serikali kulipa fidia Mbarali
Serikali imetenga Sh milioni 362 kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi 973 Agosti mwaka huu ambao ni miongoni mwa waliopunjwa fidia zao wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya baada ya kuhamishwa katika vijiji vyao kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya…
FFU waikosesha TRA mabilioni
Serikali ya Awamu ya Tano ikiwa inahaha kuongeza mapato, kampuni moja ya mafuta inayolipa kodi ya wastani wa Sh bilioni 3 hadi Sh bilioni 4 kwa mwezi, imefungiwa ofisi zake kutokana na mgogoro wa ardhi usioihusu, JAMHURI limebaini. Kwa hatua…
‘Nateseka, walimwengu nisaidieni’
Simu yenye namba 0768 299534 inaita. Kwenye orodha ya namba nilizonazo haimo. Ni namba mpya. Napokea, na mara moja nasikia sauti ya unyonge ikilitaja jina langu. Bila kuchelewa anataja jina lake. ‘Naitwa Mangazeni, nipo hapa Butiama, naomba ndugu yangu unisaidie…