Author: Jamhuri
Mangula, Mutungi na Safari kutaneni
Wazaramo wana misemo mingi katika lugha yao. Kati ya hiyo ni msemo usemao “Wose tozenga ing’anda imwe, habali tugombele lumango?” Katika tafasii sahihi ya Kiswahili “Wote tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombee fito?” Nyumba ninayo kusudia kuizungumzia ni nchi yetu…
Hatari za kukwea Mlima Kilimanjaro
Julai 18, mwaka huu mtu mashuhuri kutoka Afrika Kusini alifariki dunia baada ya kupata matatizo ya afya wakati akikwea Mlima Kilimanjaro. Huyu ni dereva wa magari ya mashindano na mtangazaji wa runinga, Gugu Zulu. Kifo chake kimezua mjadala juu ya…
Tumepeleka watalii Rio!
Kwa mara ya mwisho Tanzania kupata medali katika mashindano ya Olimpiki ilikuwa ni mwaka 1980 michezo hiyo ilipofanyika katika nchi ya Urusi ambapo Filbert Bayi na Suleiman Nyambui walipata medali za fedha. Katika mashindano hayo Bayi alitwaa medali hiyo kutoka…
Bunge linavyoliwa
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa wahusika kwenye ufisadi huo ni Naibu Katibu wa Bunge, Raphael Nombo; na Mkurugenzi Msaidizi wa Bunge (Utawala), Ndofi Merkion. Kiasi cha fedha wanachodaiwa vigogo hao ni Sh milioni 103 ambazo walilipwa kwa kigezo cha…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 6
Rais asiachiwe zigo la rushwa MAADILI YA NYONGEZA KWA MAWAZIRI NA WAKUU WA MIKOA 50. Sehemu ya Nne ya Sheria inaweka masharti maalumu kwa mawaziri na wakuu wa mikoa. Wakuu wa wilaya hawakuhusishwa ingawaje wameorodheshwa kama viongozi wa umma. Maadili…
Meneja Pori la Mkungunero ashutumiwa
Meneja wa Pori la Akiba Mkungunero lililopo mkoani Dodoma, Johnson Msellah, anatuhumiwa kutumia vibaya madaraka yake pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Martin Loiboki, amezungumza na JAMHURI na…