Author: Jamhuri
Nimeziona barabara, hii ya Butiama ni janga!
Watanzania wangependa kuona kazi nyingi za ujenzi wa barabara zikifanywa na mandarasi wazalendo. Rais John Magufuli, akiwa Waziri wa Ujenzi, alikuwa mstari wa mbele kuhimiza umoja, weledi na kujituma miongoni mwa makandarasi wazalendo ili waweze kufanya kazi ambazo kwa muda…
Yah: Mheshimiwa Rais Magufuli, hawa ndiyo Watanzania niwajuao
Anaamka asubuhi kama mbwa koko anayefikiria siku hiyo itaishaje na rizki yake iko miguuni mwake, ni sala tu ya Muumba wake kumuamsha akiwa na siha njema pasi na maradhi ya kumlaza kitandani. Ni Mtanzania mwenye haki zote za kibinadamu; ana…
Dhana pacha, busara na hekima
Busara na hekima ni maneno mafupi na mepesi kutamkwa na mtu yeyote. Lakini ni mapana na mazito katika kuyatambua, kuyahifadhi na kuyatumia kama nyenzo ya kumfikisha mtu kwenye malengo na makusudio yake kwa jamii. Maneno haya, kila moja lina herufi…
Nani atanusuru mchezo wa masumbwi?
Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini, wametakiwa kuingilia kati na kutafuta njia sahihi za kuunusuru mchezo huo unaoelekea kupotea kutokana na malumbano yasiyokuwa na tija kati ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na vyama vya michezo. Wakizungumza na JAMHURI kwa…
Kigogo TRA ‘ajilipua’
Mmoja wa waasisi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mushengezi Nyambele, hatimaye amejitokeza kueleza namna vigogo walivyoshiriki kuvuruga Mamlaka hiyo na vitendo vya ufisadi vilivyofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi serikalini. Nyambele ni Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi na Mshauri…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 11
Polisi wanalea dawa za kulevya Mapendekezo 244. Tume inatoa mapendekezo yenye madhumuni ya kupunguza na hatimaye kuondoa wimbi la rushwa inayotokana na vitendo ndani ya Jeshi la Polisi kama ifuatavyo: a) Ziwepo jitihada za makusudi zitakazoelekezwa kwenye kuelimishana kuhusu…