JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Sheria ya mito na bahari…2

Sababu ya Ukoloni  Mamboleo ni hiyo hiyo: ni kulinda  mirija ya wakubwa. Na madhali mirija ya wakubwa inalindwa, wakubwa wataendelea kutajirika na nyinyi waswahili mtaendelea kuwa masikini. Hivyo ndiyo sababu ya kwanza ya unyonjaji. Sababu ya pili ni ile ambayo…

Afrika inamheshimu Rais Magufuli

Leo naitafuta wiki ya pili tangu nifike hapa Accra, Ghana. Naendelea na mafunzo juu ya mafuta, gesi na madini. Mafunzo haya yanalenga kuwapa utaalam watu mbalimbali; waandishi, makarani wa bunge, maafisa wa serikali, vyama vya kijamii, viongozi wa jadi na…

Kupungua kwa mizigo Bandari ya Dar es Salaam

Taarifa hii imetumia takwimu za shehena ya mizigo iliyopitia bandari ya Dar es Salaam kwa kipindi cha miaka miwili, Mwaka 2014 na 2015. Aidha, uchambuzi wa kina umefanyika kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Aprili katika Mwaka wa Fedha wa…

Afrika irejee misingi yake

Kwa wale Watanzania waliokuwapo kwenye ile miaka ya mwanzo ya uhuru wa nchi yetu, bado watakuwa na kumbukumbu ya wimbo ufuatao. “Bara la Afrika twalilia ukombozi;  Ukoloni mbaya na ubaguzi wa rangi; Mataifa hayo ya Ulaya ndiyo Afrika kuivamia;  Mababu…

Ndugu Rais, nchi inawayawaya kwa kukosa busara

Ndugu Rais, mtikisiko uliosababishwa na ukuta wa Septemba mosi, umeitikisa nchi yetu vibaya! Nchi imetapatapa na kuyumbayumba na sasa nyufa zimetokeza! Ni ukweli kwamba tangu tupate Uhuru wananchi hawajawahi kushuhudia serikali yao ikitetemeshwa kwa hofu kama ilivyotetemeshwa kuelekea tishio la…

Malumbano ya ‘Tuepuke sumu hizi’

Nimebahatika kuletewa malumbano ya baadhi ya wasomaji wa makala yangu juu ya “Tuepuke sumu hizi” katika Jamiiforums. Mimi sielewi wasomaji hawa wanapotezaje muda kuoneshana nani kasoma nini, na nani hawezekaniki kitaaluma. Mimi nilijiandikia hali niionayo kimtazamo wangu. Watanzania kweli tuna…