JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Hivi tumerogwa na nani?

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa kuwa na umoja na amani, tofauti na nchi nyingi katika Bara la Afrika na dunia kwa ujumla. Nchi yetu imekuwa na amani kiasi cha Watanzania kuchoshwa na amani hii inayoliliwa na wenzetu hadi kuanza…

Wastaafu UDSM waendelea kusotea mafao

Wastaafu 638 wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 23 za mapunjo ya mafao yao kwa zaidi ya miaka 20 wamemwomba Rais John Pombe Magufuli kufuatilia madai hayo. Watumishi hao waliostaafishwa kazi mwaka…

Poleni Bukoba, tuchunge wapigaji!

Leo imepita karibu wiki moja tangu lilipotokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera, hasa Wilaya ya Bukoba. Tetemeko hili limeacha majonzi makubwa.  Taarifa nilizosoma kwenye mtandao zinaonesha kuwa watu wapatao 17 wamepoteza maisha, zaidi ya 200 wamejeruhiwa na nyumba zaidi ya…

RATIBA YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA

Mheshimiwa Spika, ili kufanikisha azma ya Serikali kuhamia Dodoma, tayari imeandaliwa ratiba itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwaka 2020, bila ya kuathiri bajeti yetu ya mwaka 2016/2017 kama ifuatavyo: Kwanza: Awamu ya Kwanza itakuwa…

Wasomi wampinga Mbowe

Wakati wa Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akimtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kukiri serikali kushindwa kuongoza nchi kutokana na kuwepo na viashiria vya kudorora kwa uchumi wasomi wamepinga kauli hiyo. Mbowe…

Ndugu Rais liondolee Taifa aibu hii!

Ndugu Rais ulipoingia tu madarakani uliwaambia masikini na wanyonge wa nchi hii kuwa nchi yao hii ni tajiri sana, hata inaweza kuwa mfadhili wa kuzifadhili nchi masikini. Lakini kwa uchungu ukasema nchi hii imeliwa vibaya mno kwa muda wa miaka…