JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM, CUF wavutana Zanzibar

Vyama vya CCM na CUF vimeibua mjadala mpya wa kisiasa baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Ole (CUF), Hamad Masoud Hamad, kujiandaa kuwasilisha hoja binafsi yenye lengo la kuhoji Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)  kushindwa kumaliza tatizo la upatikanaji…

Membe alivyopokewa na Ukoo wa Nyerere Burito

Wanaukoo wa Burito ambao ndiyo chimbuko la ukoo wa Chifu Nyerere Burito, hivi karibuni ulifanya Mkutano Mkuu wa Ukoo wa mwaka 2015. Mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi. Kulikuwa na wageni waalikwa wengi, akiwamo Waziri…

Uraia siyo uzalendo

Na FX Mbenna BRIG GEN (MST)   Kuna tofauti kubwa kati ya maneno haya mawili – uraia na uzalendo. Hapa nchini Tanzania upo mkanganyiko mkubwa wa utumiaji usio sahihi wa maneno mbalimbali.  Baadhi yetu tunaona neno uraia ni sawa tu…

Kweli Rais Kikwete kachoka

Rais Jakaya Kikwete ameshachoka. Huhitaji kuwa mnajimu kulijua au kuliona hilo. Mwaka jana akiwa ughaibuni, mbele ya viongozi wengine wa Afrika na dunia, hakusita kuwathibitishia kuwa kachoka. Akasema anasubiri kwa hamu muda wake wa kung’atuka uwadie arejee kijijini kuendelea na…

Yah; Sasa natamani kuwa rais wa awamu ijayo

Kuna wakati nahisi kuwa kama kichaa maana nafikiria vitu ambavyo ni kama mbingu na ardhi, haiwezekani kutokea katika ulimwengu wenye fatiki kali za kisiasa na kiuchumi.   Haziwezekani kwa sababu kuna mambo ya uanachama na kujulikana, haiwezekani kwa sababu kuna…

Kukataa rushwa ni ukombozi kwetu

Na Angalieni Mpendu   Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa. Msemo wa ilani hii umesemwa miaka mingi katika nchi yetu, tangu awamu ya kwanza hadi hii ya nne ya utawala wetu huru wa Watanzania.   Nasema kabla…