JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kopu amshtua Casillas, Ngassa abaniwa Yanga

  Kocha Mkuu wa Simba ya Dar es Salaam, Goran Kopunovic, amekaa na kipa wa timu hiyo, Hussein Sharrif 'Casillas', na kumwambia hana budi kukaza msuli ili aanze kukaa golini kulinda lango kama zamani.   “Ndiyo, nimekaa naye na kumweleza…

Walarushwa hawa hapa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imetangaza hadharani washitakiwa wote waliopatikana na hatia katika kesi zinazohusu rushwa.  Taarifa ya ambayo gazeti hili imeipata inasema kutajwa kwa washitakiwa hao ni utaratibu mpya unaoanza kutumika mwezi huu, ikiwa ni…

Sitta: Nafaa urais

*Asema CCM ikifanya makosa, nchi itayumba Na Angela Kiwia, Dodoma   Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee wa Kasi na Viwango, na Waziri wa sasa wa Uchukuzi, Samuel Sitta, ameta ja sifa nne za…

Nyalandu amkabidhi bahasha Sheikh Salum

*Atumia mamilioni kugharimia viongozi 54 wa kidini *Awalaza hoteli ghali, awalipa Sh 660,000 kwa siku *Mpango mzima umelenga mbio za urais mwaka huu   Na Mwandishi Wetu Siku kadhaa baada ya Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi…

Udini wapasua Bunge

*Tangazo la wabunge Waislamu kukutana lavuruga *Wakristo waandaa muswada wa Amri 10 za Mungu NA MWANDISHI WETU Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekumbwa na mgawanyiko wa chini kwa chini wa udini.   Hali hiyo ilitojitokeza Alhamisi iliyopita ambako…

Chadema la Zitto sawa, hamtambui Mahakama?

Wiki iliyopita ilikuwa ni historia nyingine katika siasa za Tanzania. Tulishuhudia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe akiachia ngazi baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kumfukuza uanachama. Zitto amefukuzwa uanachama ukiwa mwendelezo wa harakazi na misigishano ya…