Author: Jamhuri
Kampuni za mafuta kudhibitiwa
Januari, 2016 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikamilisha uanzishwaji wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency- PBPA). PBPA inatekeleza majukumu ya iliyokuwa kampuni binafsi ya kuratibu uagizaji wa mafuta ya petroli kwa pamoja (Petroleum…
Rais Magufuli Bukoba wanakutania
Nikiwa jijini Accra, Ghana katika toleo Na. 260 la Gazeti la JAMHURI, niliandika makala yenye kichwa hiki: “Poleni Bukoba, tuchunge wapigaji!” Hili ni toleo lililochapishwa Jumanne ya Septemba 20, 2016. Nilianza kupata wasiwasi kuwa huenda wakajitokeza watu wa kutumia janga…
Majibu: Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo (1)
Tafadhali rejea mada yangu ya “Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo”uliyoitoa katika Gazeti la JAMHURI la tarehe 6 – 12, 2016. Nilipata maoni kutoka kwa wananchi na wasomaji wako kadhaa. Wengi wao walikubaliana na fikra za mada husika. Hata…
Machimbo Geita yanavyoathiri taaluma
Wakati sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ikizuia watoto kufanya kazi katika maeneo ya machimbo, hali imekuwa tofauti katika eneo la kijiji cha Ikandilo kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya wilaya ya Geita. Katika eneo hilo watoto wamekuwa wakifanya…
Ndugu Rais kipi kianze?
Ndugu Rais, Mwenyezi Mungu alipotuumba sisi wanadamu hakutuumba kwa bahati mbaya! Alikuwa na makusudi yake! Wala hakutuumba kwa ajili yetu, bali kwa utashi wake! Kwa kuwa hakuna aliyeumbwa kwa bahati mbaya, basi kila aliyeumbwa, ameumbwa ili atimize kusudi la Muumba…
Kejeli, vijembe vyatawala mdahalo wa urais Marekani
Joto la uchaguzi nchini Marekani linazidi kupanda kufuatia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba, mwaka huu huku kukiwa na ushindani mkubwa kati ya mgombea wa chama cha Republican na Democratic. Wagombea wa pande zote mbili – Hillary Clinton wa Democratic na Donald…