Author: Jamhuri
Dk. Hoseah aanikwa
Aliyekuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mushengezi Nyambele, ameweka hadharani namna aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, alivyokula njama kuzuia makontena kadhaa yenye shehena yasilipiwe…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 15
Nidhamu mahakimu imeshuka Mapendekezo Tume inapendekeza kama ifuatavyo:- (i)Ajira ya makarani wa mahakama katika ngazi zote ifanywe baada ya tathmini ya tabia ya waombaji kufanywa na idara. Kila inapowezekana idara itumie vyombo vingine vya taifa kupata taarifa za waombaji…
Mzimu wa Escrow waigawa Serikali
Mzimu wa malipo ya zaidi ya Sh bilioni 300 kutoka kwenye akaunti ya Escrow, zilizokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) umeendelea kuigawa Serikali, baada ya baadhi ya maafisa wazito kutaka wamshauri Rais John Pombe Magufuli awaagize waliozichukua fedha hizo wazilipe,…
SSRA na kilio cha ‘Fao la kujitoa’
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imewataka wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii kuachana na fao la kujitoa na badala yake iwe fao la kukosa ajira. Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Onorius Njole,…
ATCL karibuni tena angani
Serikali imezindua ndege mbili za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) zinazotarajia kuanza kufanya safari zake katika mikoa mbalimbali nchini. Ndege hizo aina ya Q400 zimetengenezwa na kampuni ya Bombardier iliyoko nchini Canada. Baada ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha…
Yatakayomkwamisha Rais Magufuli – 4
‘Uongozi ndiyo unaozaa utawala’ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji vitu vinne – watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Utandawazi umetuletea wimbo mpya unaosisitizia utawala bora. Wazungu wametupotosha kwa mara yanyingine, wametuaminisha kwamba tunaweza kuwa na…