JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kifo cha Mwalimu: Rais Magufuli amewafuta machozi wengi

Wiki hii Watanzania na watu wa mataifa mbalimbali duniani, tunafanya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere ni miongoni mwa binadamu wachache ambao ni vigumu mno kuwaelezea. Tena basi, ni wachache wanaoweza kusimama na…

Yah: Usalama wa Watanzania ni suala la kila Mtanzania

Ni dhahiri kuwa sasa kila mtu anajua haki za msingi za kuweza kuishi maisha ya furaha na amani ndani ya nchi yetu bila kujali tofauti zilizopo katika dini, kabila, jinsia na hata umri. Hii ni tunu ambayo tunapaswa kuiendeleza kwa…

Katiba ni sheria ni ukweli

Naamini pasi na mashaka ukweli hauna mahaba na baba, mama, ndugu au rafiki wala hauna hiyana na adui. Ni neno linalojipambanua ni pekee katika mazungumzo na vitendo. Ukweli una tabia ya kulipa na kutoficha uongo, uovu, wema au uadilifu.  Sheria…

Tutumie mitandao kwa faida

Katika orodha ya uvumbuzi muhimu katika karne ya ishirini hakuna ubishi kuwa mtandao wa Intaneti utakuwa miongoni mwa uvumbuzi muhimu zaidi kwenye orodha hiyo. Kupitia matumizi ya mtandao, binadamu wameweza kuharakisha kasi ya maendeleo kwa kiasi kikubwa si tu kwa…

Profesa Jay awafunda wasanii

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wametakiwa kutumia nguvu kubwa kuimba nyimbo zenye ujumbe wa kuhamasisha mambo mema katika jamii na kuacha kuimba mapenzi, kwani kufanya hivyo itawasaidia nyimbo zao kudumu kwa muda mrefu sokoni. JAMHURI imefanya mahojiano maalamu na…

Tuwalee Serengeti Boys

Kwa mara nyingine tena timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imeshindwa kupata nafasi ya kushiriki katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kufanyika mwakani nchini Madagascar. Hii ni historia nyingine mbaya kwa wadau wa soka Tanzania…