Author: Jamhuri
Mtoto wa Museveni asema hakuna raia atakayekuwa rais wa Uganda
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye ni mtoto wa kiume wa Rais Yoweri Museveni, Generali Muhoozi Kainerugaba, amesema kwamba hakuna rais atakayeongoza Uganda na kwamba hilo ni jukumu la wanajeshi au Polisi. Muhoozi, ambaye amesema hatagombea urais katika uchaguzi mkuu…
Serikali itaendelea kushirikisha wawekezaji uendelezaji nishati jadidifu – Dk Mataragio
📌 Asema maeneo yenye vyanzo vya Nishati Jadidifu yameshatambuliwa 📌 Mikoa 16 yatajwa kuwa na rasilimali ya Jotoardhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali itaendelea kuwashirikisha wawekezaji katika maeneo yenye nishati jadidifu ili kuyaendeleza…
Serikali mbioni kutatua kero ya msongamano wa magari barabara ya Dar – Kilwa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mkuranga Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza serikali ipo mbioni katika mchakato wa kutangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mzinga, linalotarajiwa kupunguza changamoto ya msongamano wa magari katika barabara inayounganisha Dar es Salaam…
Mbetto :Jussa acha matamshi ya kibaguzi Zanzibar
Na Leluu Majjid, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Mapinduzi kimemkanya Makamo Mwenyekiti wa ACT_Wazalendo Ismail Jussa Ladhu na kumtaka aachane na fikra za kizamani na kutaka kukirithisha kizazi kipya siasa za enzi za ASP na Hizbu. Ametakiwa kuacha mpango huo kwani…
Dereva aliyesababisha ajali iliyoua watu nane akamatwa
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemkamata dereva wa gari lenye namba za usajili (T 458 DYD) aina YUTONG BUS kampuni ya Asante Rabi, Shedrack Michael Swai (37), aliyeendesha gari kwa uzembe na kusababisha ajali iliyosababisha vifo vya watu nane,…
WHI yatunukiwa tuzo ya nyumba za gharama nafuu zaidi Afrika
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATUMISHI Housing Investment (WHI) imetunukiwa tuzo ya ‘Nyumba za gharama nafuu zaidi Afrika’ iliyotolewa na Taasisi ya Mikopo ya Nyumba Afrika inayotambuliwa na Umoja wa Afrika. Tuzo hiyo imetolewa katika mkutano Mkuu wa…