Author: Jamhuri
Majaliwa asante la Makonda
Wiki iliyopita kwa mshangao mkubwa nimesoma maelezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Makonda amesema mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwa lipo kundi la watu 10 lilitaka kumhonga Sh 5,000,000 kila mmoja kwa maana ya…
Maafa ya Kagera, kilio cha wanyonge kwa Rais
Mheshimiwa Rais, kwanza nakupongeza kwa mchango wako wa hali na mali katika kusaidia wahanga wa tetemeko lililoukumba Mkoa wa Kagera mwezi uliopita kwa nafasi yako kama Rais, na pia kwako binafsi. Kutokana na uhaba wa nafasi ya makala, sitataja kila…
Mgogoro Makao Makuu ya Wilaya ya Ilongero
Kwa kipindi cha wiki tatu kumekuwa na vuguvugu la mgogoro kuhusu Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Ilongero). Mgogoro huu unahusu hasa wapi yajengwe Makao Makuu ya Wilaya ya Ilongero. Uliibuka kuanzia tarehe Oktoba 28, 2016 baada ya…
Ndugu Rais, Arusha kunani?
Ndugu Rais, kumekuwa na mfululizo wa habari zisizoisha kuhusu ujambazi na majambazi katika misitu ya pori la Vikindu. Vikindu kama ilivyo Mkuranga yenyewe ambayo ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Pwani, kwa kweli ni Dar es Salaam. Karibu kabisa na…
Ndugu Rais, Arusha kunani?
N dugu Rais, kumekuwa na mfululizo wa habari zisizoisha kuhusu ujambazi na majambazi katika misitu ya pori la Vikindu. Vikindu kama ilivyo Mkuranga yenyewe ambayo ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Pwani, kwa kweli ni Dar es Salaam. Karibu kabisa…
Je, Waafrika watarajie nini kutoka kwa Trump?
Uchaguzi umemalizika nchini Marekani; na Donald Trump ametangazwa kuwa mshindi. Huu ni uchaguzi ambao ulisusiwa na asilimia 43 ya wananchi ambao inaelekea hawakuwa na muda au hawakutaka kupoteza muda wao. Trump ametangazwa kushinda ingawa amepata kura 61,166,063; wakati mpinzani wake,…