Author: Jamhuri
“Demokrasia siyo mchezo wa kutazamwa tu”
Katika uchaguzi wa Urais kule Marekani mwaka huu 2016, mjini Pheledaphia kulikuwa na zomeazomea wakati Chama cha Democrats kikimteua Hillary Clinton kuwa mgombea Urais wake. Rais Obama alisema hivi, “Don’t boo, vote” you’ve got to get in the arena …because…
Tuzidishe mapambano dhidi ya ujangili
Awali ya yote napenda nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua ambayo tumefikia katika kupambana na ujangili nchini Tanzania. Hakika ujangili umeshamiri sana katika taifa letu siyo tu kwa meno ya tembo peke yake bali hata kwa nyara nyingine za…
Katu ushoga haukubaliki Tanzania
Hivi karibuni, chombo kimoja cha habari nchini kimemnukuu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akisema kuwa Serikali haihitaji ushauri wala ushawishi wa chombo chochote cha ndani ama nje ya nchi, kuhusu masuala ya ushoga na ndoa za jinsia…
Yah: Acha nizikumbuke enzi zetu, labda kwa hali hii zitashabihiana
Nakumbuka Lango la Chuma Mabibo bia ikiuzwa Sh. 18 yaani hii Sh. 100 ya sasa hivi unakunywa bia tano na chenji inarudi, maisha mazuri kwa mtumishi wa kila mahali, iwe serikalini au kwa mtu binafsi. Mshahara wa kima cha chini…
Benteke aweka rekodi
Mshambuliaji wa Crystal Palace, Christian Benteke, ameweka historia mpya kwa kufunga bao sekunde ya 7, baada mchezo kuanza wakati Ubelgiji ikicheza dhidi ya Gibraltar, katika kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia, Urusi 2018. Wakati Benkete aliweka rekodi hiyo baada…
Kusini mwa Afrika, watamba tuzo za Afrika
Miaka mingi iliyopita wapenzi wa soka walizoea kuona kila aina ya tuzo katika mchezo wa soka ikichukuliwa na wachezaji kutoka ukanda wa nchi za Afrika Magharibi, hali ambayo imeanza kubadilika katika siku za hivi karibuni. Hali hiyo imejidhihirisha katika kinyang’anyiro cha…