JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bila fedha za kutosha maisha ni mzigo

Nilivutiwa sana na mchango wa msomaji mmoja kutoka Arusha aliyeniandikia baruapepe ifuatayo, “Bw. Sanga nakupongeza sana kwa makala zako. Unaandika ujasiriamali na mambo ya kujitambua in unique style kiasi kwamba kila ninaposoma makala zako napata ladha na impact kubwa mno….

Simba yaonywa usajili

Wakati tetesi za usajili zikizidi kushika kasi nchini katika klabu mbalimbali, uongozi wa Wekundu wa Msimbazi  Simba Sports Club ya Dar es Salaam, umeonywa kuwa makini katika jambo hilo. Simba inayohaha kushika angalau nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi…

Cannavaro afufua matumaini, Yanga ikiifuata Etoile

Matumani ya kufanya maajabu ugenini kwa upande wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, yamefufuka baada ya taarifa za kitabibu kusema Nahodha wa kikosi hicho, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, atakuwa fiti kuwakabili Waarabu. Yanga wanaotarajiwa kuondoka nchini kesho Jumatano kwenda…

Wakenya wavamia Tanzania

Mamia ya raia wa Kenya wanaishi kinyemela katika kata za Tarafa ya Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.  JAMHURI imeendesha uchunguzi kwa wiki kadhaa sasa na kupata majina zaidi ya 280 ya Wakenya wanaoishi Ngorongoro, hasa katika Tarafa ya Loliondo. Orodha hiyo…

RC K’njaro amilikisha marehemu kiwanja

Ndugu zangu wanahabari, Januari 30 mwaka huu, niliwaiteni na kuwaeleza kwa kirefu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichokuwa na hati namba 10660 ambacho ndipo zilipo Ofisi za Kata ya Mawenzi ambacho zamani kilikuwa kikimilikiwa na The Registered Trustees of Mawenzi Sports…

Ripoti yabaini madudu zaidi TRL

Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi wa mchakato wa ununuzi wa mabehewa mabovu uliofanywa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imebaini kuwa menejimenti ya kampuni hiyo haikuwa makini kushughulikia maombi ya kuongezewa muda, yaliyowasilishwa na Kampuni ya Hindusthan Engineering and Industries Limited…