JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 25

TRA ina mianya ya rushwa     474. Idara hizi hukusanya asilimia 70 – 73 ya mapato yote ya Serikali Kuu yanayotokana na kodi mbalimbali. Hali ya ukusanyaji kodi katika idara hizi kwa kipindi cha miaka mitano imeonyeshwa katika kiambatisho…

‘Majangili’ 3 mbaroni Arusha

Watu watatu, wamekamatwa mkoani Arusha wakiwa na vipande 16 vya pembe za tembo. Wawili kati yao wanatoka jamii ya Kimaasai ambayo kwa miaka mingi ilijulikana kuwa ni wahifadhi wazuri. Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha zimewataja watuhumiwa hao…

Chuo cha sukari matatani

Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Sukari Tanzania (NSI) kilichopo Morogoro, umelalamikiwa kwa kukiendesha chuo kama taasisi binafsi. JAMHURI imepata taarifa kuwa chuo hicho hadi sasa kimeendeshwa kwa kipindi cha miaka tisa bila kuwa na Baraza la Uongozi. NSI inaongozwa na…

Serikali ikate mzizi wa fitna Loliondo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuendelea na ziara yake mkoani Arusha, baada ya kuikatiza kutokana na majukumu mengine ya kitaifa. Mkoa wa Arusha, kama ilivyo mikoa mingine nchini, ina rasilimali muhimu kwa ajili ya uchumi wa Taifa letu. Ukiacha kilimo,…

2016: Mwaka wa machungu kwa ‘mapedejee’

Zikiwa zimesalia siku 18 tu kumaliza kwa mwaka huu, baadhi ya Watanzania wameuona mchungu katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli. Mwaka huu umekuwa mchungu kwa wale waliozoea kuishi kwa mipango, wasiokuwa na kazi maalumu zaidi ya…

Madereva wa vigogo vinara uvunjaji sheria

Baadhi ya madereva wa magari ya viongozi wa serikali wanatajwa kuwa katika orodha ya madereva wanaongoza katika makosa mbalimbali ya uvunjaji wa sheria za barabarani Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Prescanne Business Enterprises Limited, Adelardo Marcel, amesema…