Author: Jamhuri
Yah: Niamshwe kukicha kama kweli nimelala
Inawezekana huwa sipati usingizi, ninaota huku nikiwa macho makavu lakini naamini ninachokiona katika njozi zangu kina nasaba na ndoto ya maisha halisi yanayonigusa mimi na Watanzania wengine wengi. Hii ndiyo Tanzania hata kama ni ya ndoto lakini ndiyo Taifa langu…
Chama ni mali ya wanachama
Mimi ni miongoni mwa baadhi ya wananchi wanaotoa heko na kongole kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli, na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwa kufanya mabadiliko ya muundo na uongozi wa chama hicho…
Nyenzo muhimu ya kuongeza kasi ya maendeleo ni kurudi kijijini
Katika siku za hivi karibuni, nimekuwa nakumbuka wimbo niupendao wa gwiji la muziki, Ramadhani Mtoro Ongala ‘Dk Remmy’, ‘Narudi nyumbani’. Aliimba kuwa anarudi Songea, anarudi Mlale, anarudi kijijini kwa sababu maisha ya Dar es Salaam yamemshinda, akikiri kuwa nyumbani ni…
Siku sita za kupanda Mlima Kilimanjaro
Wakati Rais John Magufuli akikagua gwaride la maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru, kundi la wanahabari, askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na wanadiplomasia walikuwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Safari hiyo ilianza mapema Desemba…
Waamuzi soka wajengewe uwezo
Soka la Tanzania linakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwamo tatizo la waamuzi ambalo limekuwa likilalamikiwa na wadau na wanachama wa klabu zinazoshiriki Ligi kuu ya Tanzania Bara. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti mara baada ya kuhitimu mafunzo ya muda mfupi…
Bandari kwafumuliwa
Katika kinachoonekana kuwa nia ya kuisuka upya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Serikali chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Injinia Deusdedith Kakoko, imefumua muundo wote wa uongozi kwa kufukuza Wakurugenzi sita, wafanyakazi 42 na kuwashusha vyeo…