JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nilivyomfahamu Brigedia Jenerali Hashim Mbita (3)

Wakati Mbita anaanza kazi katika Kamati ile ya Ukombozi, dunia iligawanyika katika pande mbili ki-mawazo na mitazamo. Hii kisiasa tuliita enzi za vita baridi kati ya mataifa ya Ulaya (upande wa Magharibi na upande wa Mashariki). Hili nalo lilileta changamoto…

CCM tunayoiona ni uhunzi wa Kikwete

Kuna ule msemo wa “vita ya panzi, furaha ya kunguru”. Vyama vya siasa vya upinzani, kama kweli vina dhamira ya dhati ya kupata uhalali kutoka kwa Watanzania, mwaka huu wa 2015 ni mwaka sahihi kabisa wa kutimiza azma hiyo. Endapo…

Yah:  Sasa ni mwendo wa msoto kutafuta kula, si kura

Najuta kuzaliwa maskini na katika familia ya ukulima, ningelipenda nizaliwe katika familia ya uanasiasa au ufanyabiashara, na kuwa na nafasi ya kuweza  kuwa na maisha bora kama ilivyo kwa familia hizo nyingi pasi na familia zetu za wakulima. Napenda kuwa …

Msumbiji, Tanzania tuenzi undugu wetu

Msumbiji na Tanzania, ukweli ni nchi ndugu tangu zama. Msumbiji tangu hizo zama ni sumbiji. Tanzania ni nchi mpya iliyoundwa kutokana na nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar. Katika ukweli huo nchi hizo ndizo hasa ndugu wa Msumbiji. Ndipo ninapothubutu…

Raia kukataa kukamatwa taratibu zikikiukwa

Siku zote wananchi wamekuwa wakililalamikia Jeshi la Polisi kwa namna linavyoendesha shughuli zake hasa wakati wa ukamataji (arresting). Matumizi ya nguvu, ubabe na kutofuata sheria na utaratibu maalum vimekuwa ndiyo tatizo kubwa kwa wananchi dhidi ya askari. Siyo siri, askari…

Dhana ya Demokrasia yetu inakumbana na changamoto

Pamoja na hatua zilizofikiwa kukuza demokrasia chini ya mfumo wa vyama vingi vya siasa, bado ziko changamoto zinazoathiri hali ya kukua na kushamiri kwa demokrasia nchini. Ile tafsiri asilia ya demokrasia inasema hivi: Serikali inayoongozwa na watu. Aidha ni aina…