Author: Jamhuri
Mwaka 2016 umetuachia mashaka mengi mno
Ndugu Rais, tunakutana hapa kwa mara ya kwanza leo siku ya tatu ya Mwaka huu Mpya wa 2017. Nawatakia wasomaji wangu wote na wote wenye mapenzi mema, heri na baraka ya Mwaka Mpya, uwe mwaka wa mafanikio kwenu na Mwenyezi…
Siku sita za kupanda Mlima Kilimanjaro (2)
Katika toleo lililopita, simulizi yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro, iliishia pale nilipojikongoja kufika Horombo, baada ya kupata matatizo ya goti nikiwa njiani kutoka geti la Marangu kuelekea Mandara. Kama unakumbuka, nilisema nilifika Horombo nikiwa wa mwisho na hiyo ilikuwa ni…
Adha ya ‘Double allocation’ (4)
Nilipoipeleka mahakamani barua ile, nikaambiwa wasipopata ‘Deed of Settlement’ baada ya miezi 2 kupita Baraza la Nyumba litaendelea kusikiliza maelezo yangu na kupokea vielelezo vyangu kisha litoe uamuzi bila ya CCM kuwapo. Miezi miwili kuanzia mwezi Machi ikamalizika bila CCM…
Kulinda rasilimali za nchi ni wajibu wetu kikatiba
Kwanza niwatakie Heri ya Mwaka Mpya wapendwa wasomaji, watangazaji wote wenye mapenzi mema na Gazeti la JAMHURI. Kwa miaka mitano, mmekuwa bega kwa bega nasi; na wakati huo huo tumekuwa tukiwapata wasomaji na watangazaji wengine wapya. Jambo hili linatutia faraja kubwa…
Mchele una chuya na chenga – 2
Mpunga unapotaka kuupata mchele wake lazima uutwange. Kamwe usitarajie kupata mchele bila ya chuya na chenga baada ya kutoa pumba. Vyama vyetu vya siasa vinafanana na mpunga. Iwe CCM, CUF, ACT-Wazalendo, TLP, Chadema na kadhalika vina mchele, chuya na chenga….
Yah: Huu ndiyo Mwaka Mpya usio na tofauti na uliopita
Leo tuna siku ya tatu baada ya Mwaka Mpya kuanza. Wapo ambao labda walikuwa na mipango mbalimbali waliyopanga wangefanya mwaka huu lakini isivyo bahati hawakuweza kufika kwa mapenzi yake Mola – mwenye kutoa rehema zake ndogo na kubwa. Leo ni…