Author: Jamhuri
Moto wawaka Tunduma
Serikali imewasha moto wa aina yake katika Mji wa Tunduma baada ya kuwapa wiki moja wananchi waliojenga katika eneo la mpaka (no man’s land) kuhamisha mali na kuvunja nyumba zao kwa hiyari, JAMHURI linathibitisha. Uamuzi wa Serikali umekuja wiki moja…
Rais Magufuli usimwamini kupita kiasi Dk. Mpango
Leo ni wiki ya kwanza ya mwaka 2017. Wiki iliyopita, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ametoa mwenendo wa hali ya uchumi nchini, akisema Taifa halina mdororo wa uchumi. Ametoa takwimu kuwa kwa sasa uchumi unakua kwa asilimia…
2017 mwaka wa machungu
Nitumie fursa hii kuwatakiwa Heri ya Mwaka Mpya Watanzania wote, ikiwa ni pamoja na kuwapa pole wale wote waliopatwa na misukosuko ya hapa na pale. Pamoja na salamu hizo za Mwaka Mpya, nasikitika kuanza mwaka huu mpya wa 2017 kwa…
KKKT kuchunguza tuhuma za ushoga
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, limeunda kikosi kazi kuchunguza tuhuma za baadhi ya Wachungaji na Wainjilisiti wa kanisa hilo, wanaotuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Kikosi hicho kimeundwa wiki iliyopita na Askofu wa Kanisa…
Sherehe zimekwisha, tuchape kazi
Mpendwa msomaji, Heri ya Mwaka Mpya 2017. Leo nimeona niandike mada inayohusiana na maisha. Nafahamu kuwa mwezi uliopita ulikuwa wa mapigo. Kwa wenzangu na mimi wanaofanya biashara za kubangaiza, umekuwa mwezi mgumu kuliko maelezo. Mwezi huu ndiyo usiseme. Kwa watu…
Mgogoro wa Israel na Palestina -2
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii, wiki iliyopita tulishuhudia eneo la Jeruzalem lilivyokuwa likikaliwa na Wafilisti na Wayahudi bila shida. Leo tunakuletea sehemu ya pili, inayoendeleza simulizi za chimbuko la mgogoro wa Waisrael na Wapalestina. Endelea… Kwa mujibu wa…