JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Muungano ni kwa maendeleo si utumwa

Marekani ni muungano wa majimbo makubwa mengi ambayo yangeweza kuwa nchi kama ilivyo kwa nchi ndogo za Afrika, lakini majimbo yale ndiyo yanayofanya taifa moja la Marekani lenye nguvu duniani kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, kiteknolojia na kadhalika. Siri kubwa ya mafanikio ya…

Haki na batili zinavyojenga figisufigisu nchini

Kumbukumbu zangu hunikumbusha na kunielekeza kwamba vitu vina jozi, maumbo yana pande mbili na majambo yana sehemu mbili – ziwe zinafanana au hazifanani, ziwe hasi au chanya, jibu kamili ni mbili. Mathalani, kuna mbingu na ardhi, usiku na mchana, ukweli…

Elimu ni ufumbuzi wa changamoto za uongozi, maendeleo

Tunaposikia kauli za viongozi kuwa uongozi wa nchi ni changamoto kubwa sana, siyo rahisi kwa wengi wetu kuelewa. Haihitaji kufanya utafiti wa kina kukubali ukweli huo. Uongozi ni mzigo mkubwa, alisema Mwalimu Julius Nyerere. Akifafanua, alisema rais anapokuwa pale Ikulu…

Faru John amtesa Prof. Maghembe

Wakati Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe, akiwatuhumu baadhi ya wadau wa sekta ya utalii kwamba wamejipanga kuhakikisha wanamng’oa katika wadhifa wake kupitia sakata la Faru John, wadau wamemtaka asiwe mfamaji. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni, Prof. Maghembe…

Msaka majangili ateswa

Siku 12 baada ya kumwandikia barua nzito, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Peter Mtani, amekamatwa na kuteswa kwa siku saba mfululizo kabla ya kuachiwa wiki iliyopita bila masharti. Mtani  amekuwa afisa wanyamapori daraja la pili,…

NHC yakaidi amri ya Mahakama

Uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unatuhumiwa kukaidi amri ya Mahakama ya Rufani Tanzania, iliyotolewa miaka 13, iliyopita ikiwaamuru kumrudisha katika nyumba au kumlipa afisa mstaafu wa Serikali ya China, Li Jianglan, baada ya kumwondoa bila kufuata taratibu….