Author: Jamhuri
Mipango ya Benki ya Dunia inaathiri wakulima
Juma lililopita niliandika juu ya pengo kubwa lililopo kati ya matajiri na maskini. Leo nagusia maskini wa dunia hii, wakulima, na jinsi gani wao wanaandamwa na mikakati kabambe ya kuwaongezea umaskini. Taarifa ya hivi karibuni iliyochapishwa na Taasisi ya Oakland…
Neema na majanga ya usafiri wa Pikipiki
Biashara ya kusafirisha watu kwa njia ya pikipiki, maarufu kama bodaboda, imeleta neema na majanga sawia hapa nchini. Biashara hiyo inaonekana kuwaneemesha wale wanaoiendesha, hususan vijana ambao wanazidi kuongezeka huku ajira kikiwa ni kitendawili kinachokosa mteguzi hata pale inapotolewa ahera…
Umaskini umekuwa mtaji wa ‘manabii wa uongo’
Kwanza, naomba nitangaze maslahi yangu kwenye makala hii. Nayo ni kwamba naamini Mungu yupo. Sijawahi kutilia shaka uwepo wa Muumba kwa sababu ni vigumu mno kuamini kuwa haya yote tunayoyashuhudia, kuanzia kwenye uumbaji, ni mambo yaliyojitokeza yenyewe tu! Haiwezekani. Mungu…
Yah: Awamu ya Trump imeanza, wataisoma namba kama sisi
Leo hii ukimuuliza Mtanzania yeyote atakwambia anasoma namba ambayo haijui, dhana ya kusoma namba imekuja kipindi ambacho Rais wa awamu ya tano Tanzania alipoingia madarakani na kauli mbiu ya hapa kazi tu. Leo hii nchini Marekani kuna waka moto, kuna…
Umuhimu wa misingi mitatu ya udugu
“Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja” Hii ni ahadi ya kwanza ya mwana- TANU, kati ya kumi ambazo alizitii na kuzitimiza enzi za uanachama wake. Ukweli ahadi tisa zote zimebeba neno zuri na tamu katika kulitamka, nalo…
Tanzania na ndoto za Olympic 2020
Wadau wa mchezo wa soka wameishauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Tanzania (TFF) juu ya kufanya maboresho yatakayo saidia timu ya taifa kupata nafasi ya kushiriki katika mashindano kadha ya kimataifa ikiwemo Olympic inayotarajia kufanyika nchini Japan mwaka 2020….