JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Siasa za kuingia Ikulu kwa namna yoyote iwavyo

Hivi sasa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu na kila mwananchi anataka kutumia haki yake ya kimsingi kupiga kura na kumchagua kiongozi anayeona atafaa kumwongoza na kumletea maendeleo katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Viongozi wamefanyiwa mchakato ndani ya vyama vyao na…

Naogopa, ushabiki wa kisiasa ni hatari

Watanzania hivi sasa wamo katika mawazo na mazungumzo ya ajenda moja tu ya Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika hivi Oktoba 25, 2015 wa kuwachagua viongozi bora ambao ni madiwani, wabunge na rais wa nchi. Mazungumzo hayo yanaendeshwa mchana na usiku katika sehemu…

PPF yajipanga kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi

Wanawake zaidi ya 720 wanafariki dunia kila mwezi nchini, kutokana na matatizo ya uzazi, na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa na idadi kubwa ya vifo hivyo.   Takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi…

Nguvu ya wataalamu katika biashara

Nianze kwa kuwashukuru makumi ya wasomaji ambao wameendelea kununua nakala ya kitabu changu kipya kiitwacho, ‘Mfanikio ni haki yako’. Kitabu hiki kinauzwa kwa njia ya mtandao, ambako ukishalipia fedha unatumiwa kwa njia ya barua pepe.  Kitabu hiki kinauzwa Sh. 5,000…

Pigo jipya CCM

Hatari ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kupoteza wanachama wazito katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu inazidi kukinyemelea chama hicho, uchunguzi wa gazeti la JAMHURI umebaini. Habari kutoka ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), zinaonyesha kuna wimbi kubwa…

Wampinga JK kwa Magufuli

Rais Jakaya Kikwete ameibua hisia za baadhi ya akina mama wanaopinga hoja yake inayosema kwamba mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ni “Chaguo la Mungu”. Akinamama hao waliokuwa wakishiriki kongamano…