Author: Jamhuri
Tutarajie maskini wengi kumfuata Rais Magufuli
Kitendo cha mama mjane ‘kuvamia’ mkutano na kuwasilisha kilio chake kwa Rais John Magufuli, kinapaswa kuwafumbua macho viongozi na watumishi katika mamlaka za utoaji haki nchini. Si wajibu wetu kuhukumu kutokana na yale yaliyozungumzwa na mjane huyo, lakini itoshe tu…
Meneja Bandari afukuzwa
Aliyekuwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, amefukuzwa kazi baada ya kupatikana na hatia ya kuingiza vibarua hewa kazini. Mwaka uliopita, Gazeti la JAMHURI limechapisha kwa kina ufisadi uliokuwa unaendelea pale bandarini, ambapo ukiacha wizi wa…
Katika hili Makonda amepatia
Leo nipo Makao Makuu ya nchi, Dodoma. Nimekuja kuendeleza uenezaji wa ujumbe wa haki ya kupata habari. Tumepata fursa ya kuendesha semina kwa wabunge na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa wabunge kufanya kazi pamoja na vyombo vya habari….
Mgogoro wa Israel na Palestina -7
Wiki iliyopita katika sehemu ya sita tulishuhudia mchango wa Uingereza katika mgogoro wa Israel na Palestina. Leo, tunakuletea sehemu ya saba ya makala hii inayosimulia mgogoro huo. Endelea… Norman Benwitch, Muyahudi-Mzayuni ambaye alishika wadhifa kwa muda mrefu katika ofisi…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 33
Taratibu za kupata hati ngumu Mwaka 1979 Dar es Salaam ilikuwa na maeneo 80 ya wazi kwenye Master Plan. Maeneo haya yalikuwa kwa manufaa ya umma – viwanja vya michezo, burudani, shule, masoko, zahanati na kadhalika. Hivi sasa maeneo hao…
Viongozi wa Serikali wanapojenga mnara wa Babeli Loliondo
Kiongozi bora hafinyangwi wala hachongwi, bali huzaliwa na karama ya uongozi. Kiongozi bora ni mtumishi wa umma anayeongoza watu kwa hekima na busara. Mtawala ni mheshimiwa kwa watawaliwa. Wapo baadhi ya wanadamu miongoni mwetu ambao kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu…