JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Siri mjane ‘aliyejilipua’

Swabaha Shosi, ambaye wiki iliyopita alimweleza Rais John Magufuli namna anavyosumbuliwa na vyombo vya utoaji haki, kwa sasa analindwa na vyombo vya ulinzi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais. “Kwa kweli nashukuru, nimepewa ulinzi, ninao,” amesema Swabaha alipozungumza kwa…

Yaliyomkuta Mjane yamkuta mwekezaji

Wakati Rais John Pombe Magufuli ameingilia kati mgogoro wa umiliki wa ardhi kwa mjane kutoka Tanga, Swabaha Mohamed Shosi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa jijini Dar es Salaam watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wamepandikiza hati…

Tutarajie maskini wengi kumfuata Rais Magufuli

Kitendo cha mama mjane ‘kuvamia’ mkutano na kuwasilisha kilio chake kwa Rais John Magufuli, kinapaswa kuwafumbua macho viongozi na watumishi katika mamlaka za utoaji haki nchini. Si wajibu wetu kuhukumu kutokana na yale yaliyozungumzwa na mjane huyo, lakini itoshe tu…

Meneja Bandari afukuzwa

Aliyekuwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, amefukuzwa kazi baada ya kupatikana na hatia ya kuingiza vibarua hewa kazini. Mwaka uliopita, Gazeti la JAMHURI limechapisha kwa kina ufisadi uliokuwa unaendelea pale bandarini, ambapo ukiacha wizi wa…

Katika hili Makonda amepatia

Leo nipo Makao Makuu ya nchi, Dodoma. Nimekuja kuendeleza uenezaji wa ujumbe wa haki ya kupata habari. Tumepata fursa ya kuendesha semina kwa wabunge na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa wabunge kufanya kazi pamoja na vyombo vya habari….

Mgogoro wa Israel na Palestina -7

Wiki iliyopita katika sehemu ya sita tulishuhudia mchango wa Uingereza katika mgogoro wa Israel na Palestina. Leo, tunakuletea sehemu ya saba ya makala hii inayosimulia mgogoro huo. Endelea…   Norman Benwitch, Muyahudi-Mzayuni ambaye alishika wadhifa kwa muda mrefu katika ofisi…