JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Martial anapoonyesha ushujaa

Kama mzaha Septemba 12, mwaka huu Luis van Gaal, alifanya mabadiliko katika mchezo wa Ligi Kuu England, ambako katika dakika ya 65 alimtoa Juan Mata na nafasi yake kuchukuliwa na Anthony Martial. Kijana huyo, usajili mpya’ aliyezaliwa Desemba 12, 1995…

Lowassa abadili gia

Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, sasa ameamua kutumia helikopta tano katika kampeni zake. Uamuzi huo unalenga kuimarisha kampeni zake ikiwa ni takribani mwezi mmoja kabla…

SAMIA: Tutachapa kazi kama mchwa

Kama kuna mambo yatakayobaki kwenye historia nchi baada ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, ni kuwapa nafasi wanawake katika vyombo vya uamuzi. Mbali ya kuteua wakuu wengi wa wilaya, mikoa, majaji ni Rais Kikwete aliyeonekana kuwa na kiu akitaka moja…

M4C ya Magufuli, Lowassa na Sauli!

Kipindi hiki ni cha kampeni. Nafuatilia aina ya ujumbe unaotumwa kwenye simu za mikononi, mijadala inayoendelea, sera zinazotamkwa na wagombea kutoka kwenye ilani zao kauli mbiu (slogan) za wagombea katika kampeni, mijadala inayoendelea kwenye vijiwe na mengine mengi. Kama mwandishi…

Heko Jaji Lubuva

Jumamosi ya Agosti 29, mwaka huu Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva aliyezungumzia mambo mbalimbali likiwamo la namna ya kuhesabu kura. Mahojiano hayo yalizaa habari ndefu…

NATO chanzo cha mamilioni ya wakimbizi kutoka Syria

Septemba 2, mwaka huu maiti ya  Aylan Kurdi,  mtoto wa Kisiria wa miaka mitatu, iliokotwa katika ufukwe wa bahari ya Mediterania. Alizama pamoja na ndugu yake Galip wa miaka mitano na mama yao wakati wakijaribu kuvuka kutoka Uturuki kuelekea Ugiriki….