JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Injinia Hersi anyakua tuzo Afrika

Rais  wa Timu ya mpira wa miguu, Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango katika maendeleo ya mpira wa miguu Barani Afrika katika tuzo za Nigeria-France Sports…

Ujenzi bomba la mafuta ghafi la EACOP wafikia asilimia 43.5

📌 Kuwa na uwezo wa kusafirisha mapipa 216,000 kwa siku 📌 Ujenzi wa kiwanda cha kuweka mfumo wa joto kwenye mabomba wafikia 92% 📌 Vijiji 12,240 vyafikiwa na nishati ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika…

Wadau wa kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua za msimu 2024/25

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari amewataka wadau kutoka sekta mbalimbali kukabialiana na athari zitakazoweza kujitokeza pamoja na kuchukua hatua stahiki wakati wa mvua za msimu…

DRC: M23 wadhibiti tena mji wa Kalembe, mashariki mwa nchi

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wameuteka tena mji wa Kalembe, huko Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Siku ya Jumapili, M23 walichukua udhibiti wa mji huo ulioko zaidi ya kilomita 150 magharibi mwa Goma, kabla…

Samia Kalamu Awards yasogezwa mbele hadi Oktoba 30

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameongeza muda wa maombi ya ushiriki katika Tuzo za Samia Kalamu Awards hadi Oktoba 30, 2024. Tuzo hizo zitatolewa…

Bashungwa amkalia kooni mkandarasi CRSG anayetekeleza ujenzi wa barabara Nyamwage – Utete

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji SERIKALI kupitia wizara ya Ujenzi imemuagiza Mkandarasi, Kampuni ya China Railways Seventh Group Ltd (CRSG) anaejenga ujenzi wa barabara ya Utete -Nyamwage yenye km.33.7, kuacha mzaha na kusuasua ambapo hadi sasa Ujenzi umefikia asilimia 7…