Author: Jamhuri
Mgogoro wa Israel na Palestina -12
Jibu la swali la pili linapatikana kwa mujibu wa maoni yaliyotolewa na mahakama ya kimataifa Mei 28, Mwaka 1948 kwa maombi ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Swali lililoulizwa na Balaza Kuu la Umoja wa Mataifa mbele ya mahakama…
Loliondo: Wanayofichwa Rais Magufuli, Waziri Mkuu
Nayaandika haya nikisukumwa na kauli ya Rais John Magufuli, ya “msema kweli ni mpenzi wa Mungu.” Ili mambo yaweze kwenda mbele hatuna budi kuwa na ujasiri wa kuyasema mambo kwa uwazi ili kuondoa vikwazo vinavyoashiria mkwamo. Kuusema ukweli utawafanya viongozi…
Yah: Maisha ya kufikirika bila kufanya kazi ni njozi ya mchana
Hakuna mtu asiyefikiria, hata mimi ninafikiria sana katika maisha, jambo baya zaidi ninapofikiria mimi huwa nahama mwili mzima na kuelekea kunako giza la mawazo, hii ndio sifa ya binadamu anayeweza kufikiria jambo moja kwa umakini bila kuchanganya mambo, anayeweza kufikiria…
Unafsi unavyoleta matatizo Tanzania
Tanzania haiwezi kuendeshwa kupata maendeleo mazuri iwapo viongozi wake ni watu wenye unafsi katika kuyaendea maendeleo ya dunia, kama kanuni za sayansi zinavyotaka na imani ya Muumba wetu inavyotaka na inavyoagiza katika kuyakabili mazingira yetu nchini. Ifahamike kwamba Tanzania ni…
Wakati wa Afrika kushika hatamu unawadia
Mwenendo wa takwimu za kuzaliwa watoto duniani zinaashiria kuwa Bara la Afrika litakuwa na vijana wengi zaidi kuliko maeneo mengine ya dunia ifikapo mwaka 2050. Ni suala ambalo linatoa fursa na wajibu mkubwa kwa Bara la Afrika katika uhusiano wa…
Utamaduni ulindwe
Mamlaka husika zimetakiwa kuwa makini katika kuhakikisha zinatengeneza mazingira rafiki kwa wasanii wa nyimbo za asili, ambao wapo wachache kutokana na ukosefu wa soko katika burudani hiyo. Imebainika kuwa baadhi ya wasanii wanaofanya sanaa za utamaduni ikiwamo ngoma, nyimbo za…