Author: Jamhuri
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 40
Miti: Taratibu zinakiukwa Upigaji marufuku baadhi ya vifaa vya uvuvi 709. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mfumko mkubwa wa wafanyabiashara wengi wa samaki baharini na kwenye maziwa yetu. Hivyo wafanyabiashara huajiri vijana wa kuwavulia samaki kwa kutumia makokoro…
Mwisho wa kuibiwa madini waja
Huenda huu ukawa ndiyo mwisho wa Tanzania kuibwa rasilimali zake hususani madini, kutokana na Bunge kuingilia kati na kutaka kufahamu ni kwa namna gani nchi inanufaika na biashara ya madini. Mwisho huu unatokana na Spika wa Bunge, Job Ndugai, na…
Mwalimu aivuruga shule Geita
Mwalimu wa Shule ya Msingi Kasamwa, Magreth Magesa, anadaiwa kusababisha migogoro ya kiutendaji shuleni hapo, hali iliyosababisha kuhamishwa kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, James Magela. JAMHURI kupitia kwa vyanzo vyake, limebaini kuwa Mwalimu Magreth Magesa amekuwa ni mtovu wa…
Ndugu Rais bao la mkono linakata huku na huku
Ndugu Rais ni kipi ambacho hatujawahi kuandika hapa katika kushauri, kutahadharisha au kuonya? Wanawema wakasema huyu ni nabii wengine wakasema ni mtabiri, lakini tukawaambia ya kwamba hesabu sahihi za mcheza bao hodari majibu yake ni yale yale ya nabii au…
Mbunge Mbeya aamriwa kujenga upya nyumba
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemtaka Mbunge wa Rungwe Magharibi, Saul Henry Amon, kubomoa na kujenga upya nyumba ya Serikali namba 162, kiwanja namba 1103, kitalu ‘S’ eneo la Mafiati Jijini Mbeya, iliyokuwa ikimilikiwa na Simbonea Kileo. Akitoa hukumu hiyo…
Ridhiwani awashukia maafisa wa maji
Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete ameujia juu uongozi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa mazingira Chalinze (CHALIWASA) kwa kushindwa kusambaza maji. Katika kikao cha Madiwani wa Halmashauri ya Chalinze kilichofanyika katika…