JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Muhimu kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la Arusha?

Kujisaili na Kujisahihisha: Mafunzo ya Watu wa Cuba juu ya Kutupwa kwa Azimio la Arusha “Ujamaa utabaki kuwa tumaini na njia pekee kwa wanyonge kujikomboa. Leo, wakati maadui wa Ujamaa wakieneza propaganda dhidi ya Ujamaa, tunapaswa kuulinda na kuutetea zaidi…

Mgogoro wa Israel na Palestina -13

Tumeona katika utangulizi wa makala hii ndefu ya kwamba wakati mipango ya Serikali ya Uingereza kwa ajili ya hali ya baadaye ya Serikali Palestina iliposhindwa kufua dafu dhidi ya kampeni ya Wazayoni ya Mabavu, mnamo 1947 iliamua kulikabidhi suala hili…

Dk. Mwakyembe karibu kwa wanahabari

Wiki iliyopita, Rais John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri. Mabadiliko aliyofanya ni kumwondoa kwenye Baraza la Mawaziri, aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na kumteua Dk. Harrison Mwakyembe kuziba pengo hilo. Dk. Mwakyembe…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 40

Miti: Taratibu zinakiukwa   Upigaji marufuku baadhi ya vifaa vya uvuvi 709. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mfumko mkubwa wa wafanyabiashara wengi wa samaki baharini na kwenye maziwa yetu. Hivyo wafanyabiashara huajiri vijana wa kuwavulia samaki kwa kutumia makokoro…

Mwisho wa kuibiwa madini waja

Huenda huu ukawa ndiyo mwisho wa Tanzania kuibwa rasilimali zake hususani madini, kutokana na Bunge kuingilia kati na kutaka kufahamu ni kwa namna gani nchi inanufaika na biashara ya madini. Mwisho huu unatokana na Spika wa Bunge, Job Ndugai, na…

Mwalimu aivuruga shule Geita

Mwalimu wa Shule ya Msingi Kasamwa, Magreth Magesa, anadaiwa kusababisha migogoro ya kiutendaji shuleni hapo, hali iliyosababisha kuhamishwa kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, James Magela. JAMHURI kupitia kwa vyanzo vyake, limebaini kuwa Mwalimu Magreth Magesa amekuwa ni mtovu wa…