JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kilichomponza Nape

Duru za siasa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, zimeanza kutaja chanzo cha aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, kupoteza wadhifa huo. Vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa vumbi la Uchaguzi Mkuu la Mwaka 2015 bado linaendelea kutimka ndani…

Kigogo Ushirika kizimbani utakatishaji fedha

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU), Maynard Swai, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na Arumeru, jijini Arusha akishitakiwa kwa kosa la utakatishaji wa fedha. Swai, ambaye pia ni mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Wakulima…

Moyo, figo kunusuru maisha

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iko katika maandalizi ya mapendekezo ya muswada kwa ajili ya kupeleka bungeni ili liridhie na kupitisha sheria itakayoweza kuruhusu mtu kuandika wosia ili viungo vyake kutumika baada ya kufariki. Viungo hivyo ni pamoja…

ECA ya vijana kuzaliwa Z’bar

Mwishoni mwa 2010 na mwanzoni mwa 2011, dunia ilishuhudi mfululizo wa maandamano na kuanguka kwa tawala kongwe katika ulimwengu wa Kiarabu. Maandamano hayo yanaitwa “Arabian Spring.”  Yalianza kwa Mapinduzi ya Tunisia ambayo yalifanyika kwa hisia binafsi ya Mohamad Bouazizi Desemba…

Rais Magufuli ana hoja

Wiki iliyopita, Rais John Mafuguli alifanya ziara ya ghafla katika Bandari ya Dar es Salaam. Kati ya vitu alivyovikuta ni pamoja na makontena 20 ya mchanga unaopelekwa nje ya nchi kuchenjuliwa. Baadaye idadi ya makontena iliongezeka kufikia 263. Makontena hayo…

Tujisahihishe – 1

Umoja wa kundi lolote ni sawa sawa na umoja wa viungo mbalimbali vya mwili au mtambo. Viungo vya mwili havina budi vitii kanuni zinazoviwezesha kufanya kazi yake sawa sawa. Lakini haviwezi kutiii kanuni hizo kama haviko katika hali ya afya…