JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tukionee fahari Kiswahili (2)

Ilipokuja Awamu ya Pili ya Mzee Ruksa (Ali Hassan Mwinyi) mimi sioni kwa nini aliendeleza ule utamaduni wa kuongea Kiingereza katika dhifa zile za kitaifa au hata aendapo nje ya nchi yetu. Kulikuwa na ugumu gani kwa Mzee Ruksa kumwaga…

CCM inasafisha nyota Karimjee, asante Jaji Warioba

NA ALFRED LUCAS Huu kweli ni mwaka wa uchaguzi. Vioja na vitimbi havitaisha mwaka huu. Lengo la chama cha siasa chochote kile duniani ni kushika dola. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinataka kibaki madarakani, vile vinavyopambana na chama hicho, kadhalika. Kabla…

Mama akodisha baunsa kumchapa mtoto wake

NA VICTOR BARIETY, GEITA Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amelazimika kutoroka nyumbani na kwenda kuishi kwa wasamaria wema, baada ya kulemewa na kichapo kutoka kwa mwanaume mwenye kifua na misuli mipana (baunsa).  Mtoto huyo, mwanafunzi wa Darasa la Saba…

Rais ajaye na hatima ya Tanzania (1)

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema yote anayotujaalia. Naamini kuwa ni kwa uwezo na mapenzi yake Mungu ndiyo maana tunayaweza yote tuyatendayo katika maisha yetu ya kila siku.  Hivyo, ni wajibu na haki kumshukuru yeye aliye na uwezo na…

CCM inaanguka polepole kama dola ya Warumi

Mwaka 476 kabla ya Kristu kuna historia ya pekee katika dunia ya sasa. Mwaka huu, dunia ilishuhudia kuanguka kwa Dola Kuu ya Warumi (Rome Empire) iliyokuwa imetawala siasa za Ulaya kwa millennia moja, yaani miaka 1,000. Dola hii ilikuwa ikiongozwa…

Nauli za daladala kushuka Machi 18

Nauli za daladala nchini zinatarajia kushuka mwishoni mwa mwezi huu kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta nchini na duniani kwa ujumla.   Mwenyekiti  wa Chama cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam (DRCOBOA), Sabri Mabrouk, ameiambia JAMHURI…